Tuiombee sana CHADEMA

Kwa nini wapambe wa Lissu hawataki akutane na Mbowe kwenye debe? Yaani Lissu kwa nini apite bila ushindani? Kuna mtu kamuengua Lissu? So yuko kwenye mpambano? Sasa mnalia nini?.
Maamuzi ya chama ndio dira.. Sio kelele za wapambe
 
Lissu ana siasa kianaharakati za aina ya Muslim Brotherhood au Jamaa Islamiya, Hamas na Hezbollah..... Chadema na dunia imeshatoka huko.

Kwa sasa chadema ni full fledged taasisi
Bado hamjasena
 
Wakati wewe unaiombea chadema wachawa wanakula miposho wanajenga Hadi magorofa
 
James yupo karibu sana na shughuli za mzee wake pia yupo karibu na wanaharakati

Kwenye wale wabunge wa COVID Mbowe, Mnyika, Kigaila na Wenje wanakua vizuri nini wamefanya.
Kumbe ndiyo anaanza kufanyiwa maandalizi ya ku-take off majukumu ya Mzee wake

Soon naye ataachiwa Chama na Mzee wake, na probably mwakani akapewa ujumbe wa Kamati kuu


Hao Wabunge 19, ni Lissu tu ndiyo atakuwa hajui walivyopatikana ila wenzake ndani ya Chama watakuwa wanafahamu.
 
CCM ni lidubwashwa kubwa achana na safu ya uongozi unayoiona ya sijui mwenyekiti, makamu, katibu mkuu (na safu nzima ya uongozi).

Hiko chama kina walinzi wake wa kudumu ambao wamebobea kweli-kweli kwenye siasa na washashika nafasi za juu kwenye uongozi za kuendesha taasisi zingine za serikali.

Baada ya pilika za uchaguzi wanaingia kati kuhakikisha watu wanarudi kwenye mstari, kazi yao ni kuilinda CCM.

CDM aina luxury ya kuvurumana wenyewe, shughuli ya kuwaunganisha watu baada ya mgawanyiko wa chaguzi sio ndogo.

CCM wenyewe hawana hizo skills, ni walinzi wao chama ambao ni watu nyeti awali serikalini.

Watu ambao mnadhani siasa za Lissu ni sahihi amuielewi CCM, unadhani ni ya mzaha-mzaha.

Sasa kama CCM chama kikongwe kinategemea walinzi wake waliobobea kwenye siasa na walikuwa na nafasi nyeti serikalini huko nyuma kuwaweka sawa.

Jiulize CDM ambayo aina hao watu, hao NCCR Mageuzi na CUF havikudhoofika bure bure.

Political tip (CCM awabahatishi umoja wao).

Kushabikia siasa za Lissu ni utoto tu wa kutoelewa siasa za Tanzania.
 
Wote tuungane tuanzishe campaign ya MBOWE MUST GO ili tuinusuru chadema
 
Mie naona hao drama 🤣🤣🤣🤣tu wameweka wapate attention ya wananchi then.............. Walete walichopanga iwe mshituko tena ati wanatoa 🤣🤣🤣🤣

Iweje Mwenyekiti (na wenye Chama) wasimsishushe cheo Makamu wake hadi leo au kufanya lolote aache kupiga mdomo wake tangu aanze.

Sijui katiba yao kutoana kukoje ila Mkiti angesukuma iwe hivyo tanguuuuuu kwa njia yoyote.

CHADRAMA

Nawaonea huruma mnaojipiga wa navyotaka kuwa jadili asubuhi hadi asubuhi.. hadi mmoja humu jana eti maisha sijui nini kisa chama hiki..

Mie 🍿🍿🍿
 
Ningewaona wa maana mngechukua kadi za chadema na kuhamasishana mkaenda kuongea na lissu then mkaungana kwa pamoja mkampigia vote kwa uwingi wenu apite kuliko kubwekabweka hapa
 
K
Ukitumia akili ya kawaida huwez elewa huu mpango ila lisu anaenda kuwa mwenyekht
Baada ya uchaguzi mpasuko utakuwepo. Kukinusuru chama na mpasuko mkubwa bora wote wawili waenguliwe.
Ingawa kukiwepo huo mpasuko mkubwa ndio furaha yangu.
 
Mjomba wakuombewa ni wewe si kwa kuhangaika uko na story jumba lenu linawaka badala kutafuta suluhisho la kuzima moto unahangaika na majirani uko na siasa za kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…