Kimya cha rafiki kinaumiza kuliko kelele za aduiWakati watu wakimsema mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema muda mrefu wewe na wenzako mkasema ndio demokrasia nyinyi wanachama ndio munaamua kiongozi aendelee au asiendelee Sasa imekuaje leo mnapiga kelele
Tusubiri tuoneInapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨
View attachment 3182144
Shida sio wao shida Ni nyinyi zaidi kwasababu nyinyiwenyewe mmekubali kubomolewaWamewekeza pesa ndefu kuiua CHADEMA na TLS ya Mwabukusi maana wanajua kwa hakika hiyo ndio pona yao🤬🤬🤬
Tena ni tatizo ZITO, KUU, NENE, OVU. . . . . .aaah!Mbowe ni Al Assad wa Chadema, hakuwa na haja ya kusema yote aliyosema jana kama angekuwa na nia ya kutokugombea.
Huyo ameshakuwa tatizo tayari.
Je CHADEMA ni kweli haijielewi kabisa kwa sasa,je viongozi wamefika pahala ambapo hawajielewi ,wala kuthamini ukombozi ,hadi CHADEMA ihitaji maombi?yaani tuamini sasa kwamba ile CHADEMA ambayo hadi sasa watanzania walio wengi bado wanaiamini haipo kwa sasa? CHADEMA ile imara imetoweka kabisa? kama itakuwa hivyo kama tunavyoona basi CCM ihakikishe tunarudi haraka sana kwenye mfumo wa chama kimoja, itatusaidia sana kuliko kuishi na wapinzani ambao ni wasanii na waongo tena walikalia kazi za kufanya deals kwenye siasa.Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨
View attachment 3182144
Tapeli mkuu anayefanya ujasiria siasa kwa manufaa yake binafsi. Looh !Mbowe ni tapeli, tusipindishe maneno. Kupanga kujitoa mwisho ni mbinu za kitoto. Mbinu sahihi ilikuwa ni hiyo jana
Hivi kwanini tunashikwa na upofu wa kutoona mkono wa CCM kwenye kuiyumbisha CHADEMA?hasa baada ya Lissu kuamua kugombea nafasi kubwa?Je CHADEMA ni kweli haijielewi kabisa kwa sasa,je viongozi wamefika pahala ambapo hawajielewi ,wala kuthamini ukombozi ,hadi CHADEMA ihitaji maombi?yaani tuamini sasa kwamba ile CHADEMA ambayo hadi sasa watanzania walio wengi bado wanaiamini haipo kwa sasa? CHADEMA ile imara imetoweka kabisa? kama itakuwa hivyo kama tunavyoona basi CCM ihakikishe tunarudi haraka sana kwenye mfumo wa chama kimoja, itatusaidia sana kuliko kuishi na wapinzani ambao ni wasanii na waongo tena walikalia kazi za kufanya deals kwenye siasa.
Si zaidi ya hicho alichoeleza Mshana . Mark my words!Lazima kuna kitu nyuma ya pazia kinachomfanya Mbowe ang'ang'anie kiti.
Ndio maana nawashauri achaneni na Mambo yakushabikia vyama vya siasaPesa ina nguvu sana
Usiamini kwenye upofu kiongozi unachotakiwa kujiuliza ni kwa nn Tanzania ina wapinzani wa hovyo,Hv unadhani haya yanatokea kwa Tanzania tu,vyama tawala hiyo ndio kazi yao ww ulitaka wawaache bila kuweka propaganda zao.Kikubwa hapa ni kitu kimoja tu nacho ni UIMARA wa viongozi wa vyama pinzani basi,ukiona chama kinajinasibu kina zaidi ya miaka 25 kwenye upinzani na kinaishia kulumbana kisa kugombea uongozi ndani ya Chama kwa njia za kidemokrasia,basi ujue hicho chama hata kikipewa dola hakijajiandaa,lazima mjue kama chama mnataka nini. Unaimba Demokrasia halafu hiyo Demokrasia ikihamia ndani ya Chama chako unaloose control,unachanganyikiwa na hutaki.Kubali viongozi wetu wa vyama pinzani hawajajipanga kwa lolote.Ukiyumbishwa ukapuuza ujinga huo ujue umekomaa.Hivi kwanini tunashikwa na upofu wa kutoona mkono wa CCM kwenye kuiyumbisha CHADEMA?hasa baada ya Lissu kuamua kugombea nafasi kubwa?
Turning and turning in the widening gyre The falcon cannot hear the falconer; Things fall apart; the centre cannot hold; Mere anarchy is loosed upon the world.Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni wakati wa Lissu. Simple and clear.
Kadiri mamlaka zinavyozidi kuleta chokochoko nyuma ya pazia ndivyo wanavyozidi kumjenga na kumuongezea hamasa na support!
Kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
Mwamba asikubali kabisa kutumika kwa namna yoyote ile! Anawajua fika chama chawala ni nani.
Napata hisia za ndani kwamba yote anayofanya kwasasa ni mbinu ya kuwazubaisha maadui wazipate picha halisi na atakuja kujitoa mwishoni na kumuunga mkono makamu wake.
Na ndio maana katika MOJA ya hotuba zake alisema CHADEMA KITATOKA SALAMA KWENYE HUU UCHAGUZI KIKIWA WAMOJA IMARA NA WENYE NGUVU ZAIDI
Mungu BABA ibariki na kuilinda CHADEMA. Ni wakati wa Lissu💪🏿📌🔨
View attachment 3182144
Mzee Lipumba na Cheyo watusamehe sana kwa kuwazodoa kwamba wameng’ang’ania madaraka muda mrefu. It seems hii ni hulka ya mapandikizi yote..Mbowe ni Al Assad wa Chadema, hakuwa na haja ya kusema yote aliyosema jana kama angekuwa na nia ya kutokugombea.
Huyo ameshakuwa tatizo tayari.
AondokeMbowe ni pandikizi la Tiss, yupo upinzani kwa 'kazi maalumu.'
Tundu Lissu ni mpinzani wa kweli, ni vyema akaondoka Chadema, nyoka yupo ameingia ndani mwao
Never, ni uwongo huu.Ukitumia akili ya kawaida huwez elewa huu mpango ila lisu anaenda kuwa mwenyekht