Tuipende Nchi yetu ukisikia popote wanatoa Mikopo mstueni aende akakope

Mikopo ambayo baadhi yetu wanaishangilia, hivi sijui hata kama wanadadisi kuhusu masharti yanayoambatana nayo. Serikali ifikie wakati sasa ifanye "down sizing"

Walivyokuwa wavivu wa kusoma ,sidhani kama hata wanasoma mashrti ya hiyo mikopo na kwa vile wale jamaa hayo masharti huwa wanayaandika kwa herufi ndogo ndio inakuwa basi tena!!
 
Serikali ikipunguza hao watendaji huoni kwamba idadi ya 'makada watiifu' itapungua?. Watu wanajitoa kwenye chama wakitegemea kunufaida kwa namna moja au nyingine ikiwemo teuzi.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Walivyokuwa wavivu wa kusoma ,sidhani kama hata wanasoma mashrti ya hiyo mikopo na kwa vile wale jamaa hayo masharti huwa wanayaandika kwa herufi ndogo ndio inakuwa basi tena!!
Ukishazoea kuutafuta ushindi wa mezani kupitia chafuzi, utatamani ueneee kwingine kote , kwakuwa kutokwa jasho mwiko, ni mwendo wa kula kuku kwa mrija tu, SAWA na kubugia keki ya taifa kwa mrija hats kuvimbiwaπŸƒ
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜πŸ˜πŸ€¨πŸ€¨
 
Hiv nchi ikashndwa kulipa deni, waden wetu watachukua hatua gani!?


Kwny vkund vya mikopo, wadeni wanaenda nyumbani kwa mdaiwa na kuchukua mali na kuanza kupiga mnada ili wapate kuchukua wanachokidai.

Je, nchi kama nchi inachulukiwa hatua gani!? Naomben kujibiwa, 🀨
 
Mnada tu, Tena unaosimaniwa na jeshi la mdaiπŸ˜„
 
Hivi OIC hajaenda kukopa? Gaddafi angekuwepo angemgegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…