Tuipongeze yanga lakini kisiwe kiboko kwa simba

Tuipongeze yanga lakini kisiwe kiboko kwa simba

KASHAMBURITA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2021
Posts
204
Reaction score
655
Mafanikio hayana chama Kama wahenga wanavyosema.kitendo cha yanga kufikia fainali ya kombe ya shirikisho n Jambo kubwa kwa maendeleo ya soka la Tanzania lakini Kuna msemo unasema "Roma haikujengwa kwa siku moja" hii Ina maana ndani ya mafanikio ya yanga Kuna mafunzo waliyoyapata kutoka kwa wa kujua hauwez kufanikiwa kila siku watu wanasema Pele ni mchezaji Bora wa muda wote je alikua anafanikiwa kila mwaka....Rea Madrid ni klabu Bora duniani je inafanikiwa kila mwaka ...Kama jibu ni hapana Basi tunatakiwa kujua kwenye michezo Kuna kushinda na kushindwa na kushindwa kwenye michezo haimaanishi umefeli,kushindwa kwenye michezo inamaaniisha ni njia ya kwenda kushinda.PONGEZI KUBWA KWA YANGA
NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom