Fafanua hapaProton na Cloudflare zipo Playstore kila mmoja apate hizi yaani ni kutelezaa tu
Jinsi ya Kutumia VPN kwenye Simu (Proton VPN & Cloudflare WARP)Fafanua hapa
Lets do this wana JF, Sauti ikiwa kubwa huwa wanalegeza, Tunaoenda kwenye page za TCRA kuwasalimia tufahamiane hapaWakuu,
Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi...
Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe kila mtu anajua, au vipi?
Nimefikiria kwenye posti za mitandao ya kijamii ya JamiiForums hasa zile ambazo zinakuwa na watu wengi, tukoment "Kwa nini jamiiforums.com haipatikani?". Tukiona mtu tayari ameuliza, tumjibu kuwa anahitaji kutumia VPN kuingia kwenye jukwaa na tumpe maelekezo ya jinsi ya kupakua na kuiseti.
Ikiwa yote mawili tayari yamefanyika, basi tu-like na kuzipush comments hizo.
Tufanye hii iwe kampeni, tusiwaruhusu hao mboga watufungie bila maelezo!
Halafu, hivi kwanini tusiende kwa wingi kwenye page ya TCRA kuwauliza kwanini wanatunyima kupata JF wakati kifungo chao kiliisha?
Naomba maelekezo kwenye computer nafanyeje kuipata jamii forum? Hiyo vpn naisetije??Wakuu,
Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi...
Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe kila mtu anajua, au vipi?
Nimefikiria kwenye posti za mitandao ya kijamii ya JamiiForums hasa zile ambazo zinakuwa na watu wengi, tukoment "Kwa nini jamiiforums.com haipatikani?". Tukiona mtu tayari ameuliza, tumjibu kuwa anahitaji kutumia VPN kuingia kwenye jukwaa na tumpe maelekezo ya jinsi ya kupakua na kuiseti.
Ikiwa yote mawili tayari yamefanyika, basi tu-like na kuzipush comments hizo.
Tufanye hii iwe kampeni, tusiwaruhusu hao mboga watufungie bila maelezo!
Halafu, hivi kwanini tusiende kwa wingi kwenye page ya TCRA kuwauliza kwanini wanatunyima kupata JF wakati kifungo chao kiliisha?
hapana, kutumia bila kibali ndo kosa --- wanataka ujaze fomu ya maombi ya kutaka kutumia vpn ukiwa umetaja sababu za kutaka kutumia, na kuanisha vifaa utakavyotumia hiyo vpn na detail zakeKutumia VPN wanasema ni kosa kisheria