issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
wadau tz tunameshapigwa hadi muda huu,hivi kwel huyu kocha anaefundisha timu yetu alipotoka kuja hapa alikuwa kocha au muuza nyanya?
Kwasababu timu ni ya kwetu kuna haja ya kwenda kumpokea kwa mabango ya kumkataa siku wanarudi,sijawahi kuona tunazidiwa kwa kiasi hiki japo tunecheza na timu nyingi sana huko nyuma.
Timu ipo ipo hata hawaeleweki wanafanya nini uwanjanni mpaka mtangazaji anatukana sana anasema Tanzanians full of running ..this is shame
Mimi siku zote nitalia na Jamal Malinzi. Kulikuwa na sababu gani ya kumfukuza Kim Poulsen?
Sasa katuletea kocha mbovu kupita maelezo.
Uchaguzi ujao TFF itamgharimu hili. Sijakuona uninspiring kocha kama huyu. Katoka Uholanzi ya wapi huyu?