Tuisaidie Taifa Start ili nchi isipate aibu!

Tuisaidie Taifa Start ili nchi isipate aibu!

ni kupoteza muda kushauri kuhusu soka la bongo.

tubaki hivi hivi
 
Ukinitajia kitu chochote ambacho Tanzania inafanya vizuri kwenye mashindano yoyote... nitavua nguo Posta mpya!!

Si michezo, uchumi, utamaduni,..... endelea unavyoweza hakuna tunachoweza!!

Haya ni matokeo ya kushindwa kwa Taifa letu. CCM si tu inaharibu uchumi ila ni kila sekta hali ni mbaya!!!
 
Nyie endeleeni kupata presha mwishowe mnajifia mapema kwa sababu ya huu upuuzi wa TFF,nilishaacha kufuatilia maswala ya Taifa Stars tangu Maximo alipotimuliwa. Ni bora ushangilie vilabu vya Yanga,Simba au Azam kuliko kufuatilia huo utumbo wa Taifa Stars. Shame on you Jamal Malinzi na Mafisadi wenzako hapo TFF,mtu tulikutegemea kufuta na kuondoa ule upuuzi wa wakina Ndolanga na Rage kumbe wewe ndio Zero kabisa tena heri ya Ndolanga na Rage kuliko uongozi wako,
 
Hawa wash**zi kazi yao ni kutubadilishia jezi kila mwaka na kuweka kambi zisizo na kichwa wala miguu

Hawa wapuuzi kazi yao ni kutafuta mianya ya wao kupiga hela tuu,ndio maana kila siku wanakuja na mipango ya nje ya uwanja kama hiyo ya kubadilisha Jezi,but mipango yao ya ndani ya Uwanja jinsi timu itakavyoshinda hawana na hata ikiwepo ni yao kupiga hela tuu mfano mzuri ule mpango wao wakijinga eti Taifa Stars Maboresho kumbe ulikuwa mradi wa kupiga hela tuu pumbavu zao.
 
Wanaudhamini wa TBL wakubwa tff wanakubali kila mashindano ili wapige hela,maoni yangu mkurugezi wa ufundi wa tff afukuzwe kazi then kocha
 
Cc Jamali Malinzi kuja huku ulete majibu, wewe toka umeingia hapo mjengoni ndio imekuwa hovyo kabisa timu yetu hivi una majibu kweli?

Kwani unadhani hatakosa visingizio?atakwambia tulipewa mualiko wa ghafla so hatukuwa na maandalizi ya kutosha na bila kusahau kuwa ndio wanajenga timu,kwa hiyi muwe wavumilivu.
 
Last edited by a moderator:
Somo limeeleweka sasa.Aibu hii ni matokeo ya rushwa michezoni.Timu imejaza Azam,yanga na simba.Bora hata mgambo jkt.Tunaposema yanga imeua mpira Tz watu wanabisha na kitoa matusi.Nilisha tabiri soka la tz bila si
mba is nothing.
 
Hili Litimu Sijui Limekula Maharage Ya Wapi, Sijui Ni Nani Aliyeliloga.
 
Wenzetu huwa wanawaandaa vijana wakiwa na umri mdogo. Iwe obligatory kwa kila timu kuwa na timu za watoto wa rika tofauti, the tutaona matokeo baada ya miaka michache tu.

Nakumbuka miaka ya nyuma, Meja Kipingu alianzisha project fulani, aliwakusanya yosso wenye vipaji, akawa anawapa huduma na mazoezi ya nguvu. Wale vijana wakaonyesha uwezo mkubwa, bahati mbaya wakaja Simba na Yanga wakaharibu kila kitu, na Kipingu akavunjika moyo.
 
Kuna kila dalili kuwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu inayoshiriki mashindano ya COSAFA kama mwalikwa ikapoteza mchezo mwingine leo dhidi ya Madagascar.Mpaka kipindi cha pili kinaanza Stars wapo nyuma kwa magoli 2

Katika mechi yao ya kwanza ambayo kidogo walionekana kucheza vizuri walitandikwa bao 1 bila majibu na Vijana wa Swaziland

Kwa mechi ya leo Stars wanaonekana kuwa dhaifu mbele ya Vijana wa Madagascar,na wasio na mbinu za kushinda hii mechi na kuna uwezekano wakaongezwa magoli mengine

Hivi kama tunashindwa kutoa hata droo na Swaziland na Madagascar hvi tutamfunga nani?

Nini tatizo la Stars na soka letu?

Kwani madagascar na Swazland wanakasoro gani, au huwa wanacheza pungufu ndio iwe ajabu wao kushinda mechi. Wewe sema tuandae timu yetu vizuri basi.
 
Somo limeeleweka sasa.Aibu hii ni matokeo ya rushwa michezoni.Timu imejaza Azam,yanga na simba.Bora hata mgambo jkt.Tunaposema yanga imeua mpira Tz watu wanabisha na kitoa matusi.Nilisha tabiri soka la tz bila si
mba is nothing.

Kweli wewe mbojo,wenzako wanaongea facts bila kuleta unazi wewe ----- wako hapa,mwishowe utasema kafungwa Yanga na si Taifa Stars.
 
Tanzania soka tumeshindwa,tuhamie kwenye mpira wa magongo
 
Nimeamini msemo wa wahenga kuwa "ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi" litanzania linchi likubwa sn (45mil popln) lkn ati tunashindwa kupata watz 22 tu wa kiliwakilisha taifa kwenye soka!!!???
Sisi kila idara ki halijojo. Lasilimati watu kibao, rasilimari asilia kibado, Uchumi ovyo kazi ya serikali ni kuagiza deraya tu basi. Wizara ya michezo mpaka leo sioni kazi yake nn. Mapinzi ameishia kuwa mpiga dili wa tff km Baadhi yetu tulivyotabiri
 
Back
Top Bottom