ni kupoteza muda kushauri kuhusu soka la bongo.
tubaki hivi hivi
Hawa wash**zi kazi yao ni kutubadilishia jezi kila mwaka na kuweka kambi zisizo na kichwa wala miguu
Cc Jamali Malinzi kuja huku ulete majibu, wewe toka umeingia hapo mjengoni ndio imekuwa hovyo kabisa timu yetu hivi una majibu kweli?
Kuna kila dalili kuwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu inayoshiriki mashindano ya COSAFA kama mwalikwa ikapoteza mchezo mwingine leo dhidi ya Madagascar.Mpaka kipindi cha pili kinaanza Stars wapo nyuma kwa magoli 2
Katika mechi yao ya kwanza ambayo kidogo walionekana kucheza vizuri walitandikwa bao 1 bila majibu na Vijana wa Swaziland
Kwa mechi ya leo Stars wanaonekana kuwa dhaifu mbele ya Vijana wa Madagascar,na wasio na mbinu za kushinda hii mechi na kuna uwezekano wakaongezwa magoli mengine
Hivi kama tunashindwa kutoa hata droo na Swaziland na Madagascar hvi tutamfunga nani?
Nini tatizo la Stars na soka letu?
Somo limeeleweka sasa.Aibu hii ni matokeo ya rushwa michezoni.Timu imejaza Azam,yanga na simba.Bora hata mgambo jkt.Tunaposema yanga imeua mpira Tz watu wanabisha na kitoa matusi.Nilisha tabiri soka la tz bila si
mba is nothing.
Tumefungwa kwa kuwa timu haina jina LA kutisha ndiyo maana tunataka kubadili jina.