Tuisaidie Taifa Start ili nchi isipate aibu!

hata hao COSAFA walifanya makosa kuialika tanzania, kwani hawajui kuwa hakuna tunaloliweza??.

Naamini COSAFA hawatafanya kosa tena kuialika Tanzania. Tulitarajiwa kwenda kunogesha mashindano kwa kandanda safi, pasi fupi na ndefu huku tukitupia mabao kwenye nyavu na wengine wakiendelea 'kulokota' ku nyavu, kinyume chake tumeenda kucheza soka bovu, la kichovu, bila mipango huku 'tukilokota' ku nyavu zetu mara 3 bila wao 'kulokota' hata mara moja. What a shame upon you Hon. President Jamal Malinzi? Why can't you step down my brother? Infact, actually we have no confidence in you! I wish TFF members dismiss you through vote of no confidence in case you are unwilling to step down.
 
Last edited by a moderator:

Mahaba yako katika siasa usituletee katika michezo huku ni Amani, Nidhamu na Upendo. Haya mimi mburura nadhani umefarijika sasa. Have a nyc day. Ukimkimbiza chizi na wewe utaonekana chizi acha nikuchunie tu Tena nimedokezwa Mkuu MAMA YAKO mwalimu wa shule ya msingi tena ANA KALIA KIGOGO luhanga.
 

Sawa... Mbona we BABA YAKO ANAKAA-NYAGWA sisi hatusemi!!!
 
Nipashe la 22.05.2015, Malinzi.kufanya maamuzi magumu. Stay tuned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…