Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
hata hao COSAFA walifanya makosa kuialika tanzania, kwani hawajui kuwa hakuna tunaloliweza??.
Naamini COSAFA hawatafanya kosa tena kuialika Tanzania. Tulitarajiwa kwenda kunogesha mashindano kwa kandanda safi, pasi fupi na ndefu huku tukitupia mabao kwenye nyavu na wengine wakiendelea 'kulokota' ku nyavu, kinyume chake tumeenda kucheza soka bovu, la kichovu, bila mipango huku 'tukilokota' ku nyavu zetu mara 3 bila wao 'kulokota' hata mara moja. What a shame upon you Hon. President Jamal Malinzi? Why can't you step down my brother? Infact, actually we have no confidence in you! I wish TFF members dismiss you through vote of no confidence in case you are unwilling to step down.
Last edited by a moderator: