Tuisapoti Taifa Stars iliyopo huko Afrika Kusini kwenye michuano ya COSAFA

cacacuona

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
655
Reaction score
776
NDUGU mtz mwenzangu pamoja na tofauti zetu nyingi lakin ni ukweli usiopingika kuwa tu wamoja kwasababu ya Utanzania wetu.

Naomba comment chochote kuipa suport timu yet.

KARIBU
 
yes nipo nawe,tuisapoti timu yetu,tumeshinda gemu ya kwanza ,tusonge mbele
 
Ha haa! Leo mbetishaji kaweka timu ya Tanzania, nikaiangalia jinisi ninavyoijua mie jinsi isivyo timu ya kutabirika tabirika, nikaona hapa pesa yangu italiwa bure tu!
 
next game tonite at 19H30,vs Angola,Royal Bafokeng sport Palace,and the last group game will be on 29.06.vs Mauritius ,17H00 at Moruleng Stadium,tuwaombee kila na heri.
 
Twende Tanzania chama langu..
 

Attachments

  • IMG-20170627-WA0027.jpg
    92.8 KB · Views: 52
Usithubutu kuweka mzigo -kubet, Timu hiyo ni km indulent fever -homa ya kupanda na kushuka. Ni lazima TFF iingozwe na mtu wa mpira, sio mfanyabiashara za malori na makampuni za clearing ukategemea matokeo. Mimi siungi mkono viini macho. Tujadili tatizo la msingi ambalo ni TFF kushindwa kusimamia maendeleo ya mpira.
 
Huu ni uzi maalum wa kuisuport star kwa sasa pamoja na changamoto zilizopo lakin tuwape moyo vijana wapambane..tukitoka huko ndio tuje unachokitaka ww mkuu.
 
Tunashukuru vijana wamejitahid..Tunaongoza kundi..
 
Twajitahidi kuwapa sapoti ila hatuoni mabadiliko
Majuzi tena wenzao wamepotezana ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…