Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Wewe ni mpuuzi tu, na umeshapoteza hela yako.Nimebet wapigwe na Angola 2-0 odds 37
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpuuzi tu, na umeshapoteza hela yako.Nimebet wapigwe na Angola 2-0 odds 37
pole mkuu naona mkeka wako umechanwaNimebet wapigwe na Angola 2-0 odds 37
Nakuunga mkono..Ulimwengu kachoka asee nadhani majeruhi yamepiga vibaya.pia msuva acheze kwenye nafasi anyoimudu vizur..Mbaraka aanze kabisa maana dogo ana kasi na akili saana..Kama tunataka mafanikio, Coach afanyie kazi haya.
1. Mbaraka Yusuf awe anaanza dk 90 za mwanzo.
2. Maguli, Ulimwengu wamechoka
3. Dk 20 za mwanzo coach afanye maamuzi ya sub ya mapema sio kusubiri weee
4. Msuva acheze namba yake ya kawaida
5. Tubadili fotmation. Hii ya mshambuliaji mmoja wa mwisho, hapana haifai.
Mmmh! Mbona chaka wakimpiga Zambia ni fainaliMwanzo mwisho..vijana wako robo .tunampiga mzambia tunaingia nusu f