robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 526
- 1,524
Wakuu wa idara habari
Katika maisha ya mahusiano huwa najitaidi sana ikifika point ya kuachana na mtu nilienae basi huwa naacha nae kwa amani kabisa, yaani bila matusi bila kashfa yoyote na kikubwa ni kutomsema vibaya
Basi kama mliishi vyema, Ex wako anawezakuwa msaada pale utakapo kwama. Hii juzi sijamaani naongea na ex wangu akagundua sipo vizuri basi kuniuliza nini shida nikamjibu tatizo langu, daah! sikuamini kama alikua msaada wa mbele kutatua tatizo langu.
Tuishi vizuri na maEx wetu kwani kuachana nayo ni hatua tu mojawapo katika maisha.