robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 526
- 1,524
Hah ni kwel mkuu...ila Mungu jaaria yuko na mahusiano akeHahahaha nimekuelewa inasaidia mengi, ameokoa penati muhimu eegh?? Ila angalia asije akaitumia kama fimbo hapo mbeleni
hahahahHuu uzi kwa wale ndugu zangu ma bachelor wa (kudumu) waliofikia level ya
"Five [emoji93] bachelor" wapite mwendo wa gwaride.
[emoji1666]Hizo fikra na mawazo ndo yaliyopo kwangu pia.
lets spread peace en loveHizo principle zako na zangu ni mapacha
Hizo fikra na mawazo ndo yaliyopo kwangu pia.
Ndo wepi hao?Huu uzi kwa wale ndugu zangu ma bachelor wa (kudumu) waliofikia level ya
"Five [emoji93] bachelor" wapite mwendo wa gwaride.
kabisaa Mkuu!Kweli mkuu alafu kama mliachana kwa Amani huwaga wanakuwa faster sana kutoa msaada...!!!
Mimi wengi hurudia nao mechi,hata jana kuna mmoja miaka 4 sijamuona ile kukutana nae tu malalamiko kama yote leo nakesha nae mpka kunakuchaWakuu wa idara habari
Katika maisha ya mahusiano huwa najitaidi sana ikifika point ya kuachana na mtu nilienae basi huwa naacha nae kwa amani kabisa, yaani bila matusi bila kashfa yoyote na kikubwa ni kutomsema vibaya
Basi kama mliishi vyema, Ex wako anawezakuwa msaada pale utakapo kwama. Hii juzi sijamaani naongea na ex wangu akagundua sipo vizuri basi kuniuliza nini shida nikamjibu tatizo langu, daah! sikuamini kama alikua msaada wa mbele kutatua tatizo langu.
Tuishi vizuri na maEx wetu kwani kuachana nayo ni hatua tu mojawapo katika maisha.