Tuishi vizuri na EX wetu, wanaweza kuwa msaada utakapokwama

[emoji16][emoji16]huu uzi huu, kuna wa2 utawapeleka kubaya...ok, lets make it easy.
Achana nae kwa wema ila usiwe na mazoea nae. Hawa watu, wengi wao hulipizaga kisasi, hasa wanawake wengi hupenda kulipiza kisasi, naongea kwa experience...mana kuna mengi yalokuta wa2 kwaajili ya hiihii issue.

hitimisho, achana nae kwa wema ila kata mazoea...[emoji41]
 
Kwa mwanamke yeyote haipendezi kumlilia shida ya hela mume wa mtu, huko ni kumtaka kimapenzi na kujilengesha!

Kama huna hila moyoni mwako kamuombe mkewe akusaidie na siyo kulialia shida kwa waume za watu.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…