Ukisikia kuingizwa chaka ndio huku one man show ndiyo hii
Kilajambo kubwa huwa na sera hivi hili hata kwenye kile kitabu chenye kurasa miatatu na ushee(ilani ccm) lipo uk upi? Katiba inasemaje au imebadili kipengele kinacho elekeza
Sheria kuandikwa kwa lugha ya kiswahili sio mwarobaini wa kupatikana kwa haki na watu kuelewa hizo sheria kama msingi wa sheria ni ukandamizaji zitabaki kuwa hivyo hivyo hata kama tukiandika kwa lugha zetu za makabila.