Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

SinaMdaa

Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
32
Reaction score
67
Salamu wanajamvi.
Niende kwenye mada moja kwa moja.

Tuishi nao kwa Akili, ni moja ya msemo uliotolewa kwenye maandiko na watu wengi hupenda kuutumia pale linapozungumziwa suala la kuishi na mwanamke.

Mimi nawaza toafuti kidogo maana naona ukitumia Akili yako yote kuwaza na kuwazua jinsi ya kuishi na hawa viumbe utajikuta unawachoka na utashindwa kuhusiana nao kabisa.

Chukulia mfano,una mchumba unamjali unampenda unamcare, muda mwingi utataka kujua anaendeleaje,yupo wapi,anafanya nini,anaenda wapi na anaendaje.Yote haya siku ya siku anakuambia unamfuatilia sana na kwa sababu hiyo anadhani humuamini.

Unaamua kumwelewa na kumwamini na kumpa hicho anachosema ni uhuru,unakuwa unampigia mara chache zile za muhimu, ukitaka kwenda kumuona unamuuliza kwanza kama yupo tayari ama la na unafanya anavyotaka yeye,mostly unamwacha anajisimamia kwa kua unamuamini.Siku ya siku anakuja kukuambia "hunipendi umepunguza attentions".

Ivi ukitumia Akili kuishi nao sio ndio utashindwa kabisa maana kutumia Akili kuishi na mtu ambaye mostly hajui anataka nini nikujichosha.
 
Screenshot_2024-07-15-13-09-56-87_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Ishi nao kwa akili.
Maana yake maisha yako yasitawaliwe naye yaani usimfanye yeye kuwa kitu cha kwanza muhimu kwenye maisha yako la sivyo atakutawala.
Lakini kumbuka neno hili " MPENDE MKEO".!
 
hizi thread zimekuwa nyingi mno siku hizi ,sijui kuna nini kinaendelea
 
Back
Top Bottom