Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

Tuishinao kwa Akili Ila sio Akili yote

Kuishi nao Kwa akili ni mambo mawili lazima uhakikishe yanapishana furaha na huzuni

Leo umpe furaha asahau karaha zoooote

Kesho umpe bonge la huzuni ahuzunike

Hizi ndiyo akili unazopaswa kuzifanya yaani Kila ck uhakikishe kimoja wapo umekitekeleza 100%.

Utekelezaji wake ndiyo unapaswa useti
 
Back
Top Bottom