Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Sasa Tuisila Kisinda TM Master. Tayari atakuwa ameiva. Wazee waliambiwa na viongozi kumfanyia kazi kama ambavyo huwa tunawafanyia wachezaji ambao wanakuwa tayari kusaidiwa. Aziz Ki mmoja wapo na Mayele pia.
Wameenda wamempika. Sasa zile kebehi zenu nyie wala mihogo na maji ya pakti zitaisha....nyie mnadhani mpira ni kitu chepesi. Subirini sasa kama hamjaanza kumwimba TK Master kila sehemu. Haya yalikuwa mapito tu lakini walipo wazee hapaharibiki neno.
Mnamkumbuka Aubrey Chirwa? Tulipoenda mpika akawaje? Alivyoondika Yanga ikawaje? Leo hii Tshishimbi yupo wapi? Nyie msidhani haya mambo yanakuja tu. Na mlivyokosa aibu ninyi mtaanza kumuimba huku na kule. Msiwafuate Simba Mikia wao wana chuki binafsi na TK Master.
Nawaambia hivi. WAZEE WAMESIKIA KILIO CHENU NA WAMEAMUA KUMPIKA TK MASTER.