Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Napenda kuuliza vipi hali ya Kisinda huko Berkane?
Tumekuwa tukipata tetesi na habari kuwa Clatous Chama mambo yamekuwa magumu hadi anafanya mpango wa kurudi Simba. Hata hivyo hatupati taarifa za Kisinda.
Je, yeye maisha yanamuendea murua huko Berkane ama ndio amekubali kuwa "mtumikie kafiri upate ujira wako"?