Tuisila Kisinda

Tuisila Kisinda

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Napenda kuuliza vipi hali ya Kisinda huko Berkane?
Tumekuwa tukipata tetesi na habari kuwa Clatous Chama mambo yamekuwa magumu hadi anafanya mpango wa kurudi Simba. Hata hivyo hatupati taarifa za Kisinda.
Je, yeye maisha yanamuendea murua huko Berkane ama ndio amekubali kuwa "mtumikie kafiri upate ujira wako"?
 
Pale kocha NI mcongo mwenzoe lzm ampe namba
 
Atakosaje kupangwa wakati kocha wake wanatoka wote Congoooo?
Kama vile Maximo na akina Jaja pale Yanga, pia Makambo na Zahera, wakati uleeee!
Mkuu hii habari umeandika 'kimshankupe' sana.

Anyways!! Kocha wa yanga wakati jaja na coutinho wanasajiliwa alikua Babu Hans
 
Aliyewaleta ni nani? Alivyoondoka, nao mambo yakawa magumu!
 
Back
Top Bottom