Atakosaje kupangwa wakati kocha wake wanatoka wote Congoooo?Tuisila ndiyo roho ya Berkane
Pale kocha NI mcongo mwenzoe lzm ampe nambaNapenda kuuliza vipi hali ya Kisinda huko Berkane?
Tumekuwa tukipata tetesi na habari kuwa Clatous Chama mambo yamekuwa magumu hadi anafanya mpango wa kurudi Simba. Hata hivyo hatupati taarifa za Kisinda.
Je, yeye maisha yanamuendea murua huko Berkane ama ndio amekubali kuwa "mtumikie kafiri upate ujira wako"?
Mkuu hii habari umeandika 'kimshankupe' sana.Atakosaje kupangwa wakati kocha wake wanatoka wote Congoooo?
Kama vile Maximo na akina Jaja pale Yanga, pia Makambo na Zahera, wakati uleeee!
Aliyewaleta ni nani? Alivyoondoka, nao mambo yakawa magumu!Mkuu hii habari umeandika 'kimshankupe' sana.
Anyways!! Kocha wa yanga wakati jaja na coutinho wanasajiliwa alikua Babu Hans