Tuisimike Manchester City hapa

Tuisimike Manchester City hapa

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,796
Reaction score
2,367
Heloooow,wana michezo na wale wahuzunishwaji wa huyu bwana pep guadiola,anatutesa sana anatunyima amani na tim zetu zinazo chechemea basi hatuna budi kumuombea ili dua la kuku,atuwezi juwa anaweza akarudi mpka nafasi ya6 au ya 7,kwani mpira sikuzote tunajipa imani una dunda,katucharaza viboko wote big match pale,tuombe hili lisijirudie kwa hii man cty kuja kututembezea tena bakora kwa mara nyingine tena....tumsimike tu hakika dua litamfika.......
5afd8d487c5cda5a9650847938636150.jpg
 
Good morning CITIZENS leo mmeshindwa kutumbukiza hata kogoli kimoja
 
Cty namuombea game2 zijazo moja adroo moja apigwe...
 
Tarehe 14 city atapigwa na liver live
 
Back
Top Bottom