Aminaaaa mtani...😀😂🤣 Unatukana matusi mazito kwenye Juma kuu
Yesu afufuke ndani yako
Sema haleluya
Mwaka takribani wa nne huu yupo yanga na kowango chake ni tia maji tia majiFarid ni mchezaji mzuri mno
Sema amekuta timu ina presha ya matokeo hawajapata muda wa kumpa mechi za kumjenga
Kawaulize TP Mazembe alichowafanya pale Lubumbashi
Naheshimu mawazo yakoMwaka takribani wa nne huu yupo yanga na kowango chake ni tia maji tia maji
Akiba ya maneno Gani Sasa mkuuBadilika bwa mdogo.
Msimu uliopita ulikuja na ngonjera kama hizi na ulienda mbali zaidi eti mngetwaa CAFCL lakini mkaishia makundi ingawa mechi ya mwisho ya maamuzi mlimalizia nyumbani.
Jifunze kuweka akiba ya maneno itakuheshimisha
Jibu swali acha siasa,hayo mashindano ya mabingwa kwanini mmeshindwa kufika robo fainali wakati Simba wao ni kawaidaNani aliwafukuza CAFCL mkakimbilia kutia aibu taifa Kwa kucheza mashindano ya ovyo kama shirikisho
Huyo Jean Claude Girimugisha ikitokea akasajiliwa, basi nitawaona Yanga wako serious sana. Maana Dogo anacheza mpira mkubwa sana.Yanga anaenda kutimizaa malengo yake yote ikiwa ni pamoja na kutwa ubingwa wa
1. NBC PL
2. CRDB confederation cup
3. Yanga ashatwaa ngao ya jamii akimpiga mtani Simba goli 2 Nusu final, huku akimtwanga Azam Goli 4
Wachezaji wanaotoka
1 Kennedy Musonda
2 Aziz ki
3 Clement Mzize
4 Aboubukar Kohmen (GK)
5 Denis Nkane
6 Jonas Mkude
7 Aziz Andambwile
Wanaoingia
1 Yona Amos (GK)
2 Jean Claude Girimugisha
3 Jonathan Sowah
4 Feisal Salum
5 Wilson Nangu
6. Abdolaye Yonta Camara
7 Husein Ssemfuko
8 Eric Mwajage
Watani wapo shirikisho ambapo watatoka kapa
Hapa mtani atakimbia tena bila shaka.
Kuna yule dogo anaitwa Yahaya Mbegu, na yeye yuko vizuri sana.Sawa lakini hakuna mzawa anamzidi kibabage eneo hilo
Hata Farid tu anamzidi kucheza eneo hiloKuna beki Gani mzawa unaweza kumzidi kibabage uweZo?
Farid bado anafaa YangaFarid Mussa pia ni wa kupewa thank you
Nyie kenge Simba yupo alipo kwenye ranking kwa kushiriki CAFCL, hUYO Uto yupo alipo kwa kushiriki hayo mashindano unayoyatusi hapa ya umiseta.Tofautisha CAFCL na mashindano ambayo 5imba inashiriki ya shirikisho yaani UMISETA au netball mashindano ya akina mama
Liverpool, Man City,Ac Milan, Atletico Madrid wote hawajafika robo final ila Aston Villa kafikaJibu swali acha siasa,hayo mashindano ya mabingwa kwanini mmeshindwa kufika robo fainali wakati Simba wao ni kawaida
Msidanganyike na ile assist ya jana. Hakuna kitu paleFarid bado anafaa Yanga