Tuition fees UDOM

Tuition fees UDOM

Naomba msaada wa kiushauri; hivi undergraduate first year direct costs ninazotakiwa kulipa kwa college of education ni Tshs 282,500/= ama Tshs 244,000/=!??? Nimekanganyikiwa nifanye lipi baada ya kuona notes kwenye website ya chuo.
 
ni hapo penye red kijana ila kama tu sio wa health related faculty
 
Je, kama hujalipa kias unachotakiwa kulipa kwa ajil ya tuition fee unaweza kuwa registrated na mwisho wa kulipa n muda gan? Mwenye uelewa na hil.

huwezi kusajiliwa mpaka ulipe kiac kidogo,, mfano kama heslb wamekupa 92% kwa ajili ya ada na 8% iliyobaki unaweza lipa yote au 4% kwa kila semister,,,,
 
Back
Top Bottom