tuition za huko kwa osama bin laden

Tabu utakapofika muda wa wanafunzi kufanya majaribio ili kujua kama tuition imeingia akilini vizuri...watakwisha wote.
 


H aha ha ha ha si teacher atakufa?

....Ndo sababu kasema atafanya zoezi hilo mara moja tu, ina maana kama mwanafunzi wake hajaelewa basi imekula kwake.
 
Sina mbavu!!! Halafu mbona kama hiyo distance kati ya teacher na dents ni fupi si watakufa wote?
 
Nataka kuwa na signature kila ninapopost ionekana. How to go about. Nimeangalia kwenye profile yangu sikuona option. can you help, please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…