Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
sawa mkuu nimekutia like kwa hii comment yako.
Congratulations.
Baada ya kuvote hapo hapo unabadilisha tu sub category. Duplicate maana yake unajaribu kuvote zaidi ya mara moja kwenye sub category moja. Badili subcategory.Nimevote Male Leader, najaribu kurudi kwenye News blog naambiwa Dublicate.... tunafanyaje hapo..?
Mbona rahisi Sana mkuuMkuu nikifata hatua uoizotaja hapo mbona inachanganya???
Kizibo