Habari za jioni wakuu.
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro.
Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao bado hawajaona na kupiga kura) ili tuwapigie kura kama ishara ya kuunga (mkono) juhudi za Melo na JF kwa ujumla katika kutuweka pamoja na kuhabarishana na kuburudishana.
JINSI YA KUPIGA KURA.
1. Fungua link hii 👇
Tanzania Digital Awards
www.digitalawards.co.tz
2. Ikishafunguka uta click palipoandikwa
'VOTE' ita pop-up ka window ambapo ndio kutakua na categories na sub-categories.
View attachment 1362115
View attachment 1362103
4. Katika Awards Category chagua
Digital Media
5 (i) Katika Award Sub-category chagua
Digital Media Leader of The Year (Male) hapo unaweza kumpigia kura Melo kwa kumchagua.
(ii) Katika Category hiyo hiyo (refer namba 4) chagua tena Sub-category ya
Best News Blog na hapo unaweza kuichagua
JamiiForums.
View attachment 1362106
Nawakilisha.