Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

Habari za jioni wakuu.

Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro.

Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao bado hawajaona na kupiga kura) ili tuwapigie kura kama ishara ya kuunga (mkono) juhudi za Melo na JF kwa ujumla katika kutuweka pamoja na kuhabarishana na kuburudishana.

JINSI YA KUPIGA KURA.

1. Fungua link hii 👇

2. Ikishafunguka uta click palipoandikwa 'VOTE' ita pop-up ka window ambapo ndio kutakua na categories na sub-categories.
View attachment 1362115
View attachment 1362103

4. Katika Awards Category chagua Digital Media

5 (i) Katika Award Sub-category chagua Digital Media Leader of The Year (Male) hapo unaweza kumpigia kura Melo kwa kumchagua.

(ii) Katika Category hiyo hiyo (refer namba 4) chagua tena Sub-category ya Best News Blog na hapo unaweza kuichagua JamiiForums.
View attachment 1362106
Nawakilisha.
Nawakilisha-NAWASILISHA

YOTE KWA YOTE NIMESHAPIGA KURA ZOTE 2! KILA LA KHERI
 
Kila mtu apige kura kwa kutumia Id zake zote za jf na kwa mtu wetu max naamini ushindi ni wetu
 
1582344178454.png

Done!
 
Deal done, kwa Melo na kwa Jamii Forums, hivi hakuna sehemu ya kuangalia matokeo? yani tuone mpambano unaendeleaje pale
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh
Bwana maxmelo nimeshatupia teyar
 
Nimempigia Melo na Jamii Forums, japo mimi Mkenya na hii naona ni kwa ajili ya Watanzania, natumai kura yangu ni sahihi.
 
Back
Top Bottom