Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

JF wanadeserve for sure
Naleta ushahidi soon

ningevote zaidi ya mara moja if possible
 
Nilkuwa sijui kama kuna kura yangu inahitajika, baada ya kuambiwa tu nimekuja mbio mbio nakulog in, sekunde mbili tatu zikatumika kwenye kusoma maelezo ya mleta mada hapo juu, nikabonyeza kibonyezea ikaita melo mwanaume, ndo kiongozi, hafu tena kiblog, jamii forum, wengine siwajui na na hata kama nawajua wanafiki, pole yao. nalog off. kazi shila na kwisha.
 
Back
Top Bottom