Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
YeahUnaweza ukajilimit hivi kwa asilimia zote? upo vizuri saana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahUnaweza ukajilimit hivi kwa asilimia zote? upo vizuri saana
Lazima tuheshimu na kujali hisia za wengine kwa kuwapa muda na kuwasikiliza kwa umakini, hii mitandao IPO kila siku isitufanye tukosane na wapendwa wetu,..bravo my shouger[emoji106]Mda wa familia ni mda wa familia simu inakua pemben..ukiwa na mtu mmetoka out simu nayo iwe pemben kumpa mtu attention
Ni matter tu ya kujicontrol otherwise simu ndo itakucontrol,.
Unawezaje kubalance.. una ratiba? au ni paleunapojiskia ngoja niingie JF.Hakuna madhara,kwa sababu wengine tunaingia huku kwa ajili ya re-freshment tu na hatuupi nafasi ya kuharibu familia zetu,maisha halisi na wenzi wetu tunayo huku ulimwenguni tunaoonana uso kwa uso
Tatizo tunalokumbana nalo JF hatutaki kujadili mapungufu yetu.Lazima tuheshimu na kujali hisia za wengine kwa kuwapa muda na kuwasikiliza kwa umakini, hii mitandao IPO kila siku isitufanye tukosane na wapendwa wetu,..bravo my shouger[emoji106]
D wangu,..umesema kweli,mm nakiri kabisaaa huwa napoteza concentration ninapokuwa niko katikati ya dimbwi la kwenye mitandao,niwe nachat au vyovyote vile..Tatizo tunalokumbana nalo JF hatutaki kujadili mapungufu yetu.
Ila muda mwingi unajadili ukamilifu tunaotamani kuwa nao ndani mwetu.
Niamini huu uzi wamechangia zaidi ya watu kumi ila hakuna anayekiri anatatizo kwenye hili. Lakini hili ni tatizo lililofanyiwa tafiti kati ya watumiaji 10 wa mitandao ya kijamii basi 5 wanaathirika zaidi na ulimwengu wa mitandao ila wao wanakuwa hawajui.
Swali unakubaliana na lawama?D wangu,..umesema kweli,mm nakiri kabisaaa huwa napoteza concentration ninapokuwa niko katikati ya dimbwi la kwenye mitandao,niwe nachat au vyovyote vile..
Hii inapelekea kuonekana "sijali" mambo/mtu kwa wakati huo na hali hii hunisababishia manung'uniko mengi na lawama pia,.kitu ambacho si kizuri kwakweli,.
[emoji3][emoji3]mbona me hunisikilizagi unakuaga busy kujisnap tuLazima tuheshimu na kujali hisia za wengine kwa kuwapa muda na kuwasikiliza kwa umakini, hii mitandao IPO kila siku isitufanye tukosane na wapendwa wetu,..bravo my shouger[emoji106]
Lawama nazikubali lakini silaumiki,.kuzitatua kwa upande wangu "nimejitengea muda" ambao sitolaumika na yeyote na nakuwa huru zaidi na amani bila kuleta shida kwa upande wangu na mwingine,.ushauri;tujitahidi tuu kukabili hali kwa kuangalia na mazingira ya wakati huo kama unaona yatakuletea lawama basi epuka na kama ni jambo la muhimu halikwepeki kwa wakati huo kulifanya basi jitenge kuepuka/kuepusha ghadhabu na lawama kwako na kwa wenzako!!!Swali unakubaliana na lawama?
Ulishafikiria kuzitatua? unamshauri nini mtu mwenye tatizo kama lako.
Woiii[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]mbona me hunisikilizagi unakuaga busy kujisnap tu
kwakweli huo mtihani najitahidi kuushinda lakini naambulia K.OMda wa familia ni mda wa familia simu inakua pemben..ukiwa na mtu mmetoka out simu nayo iwe pemben kumpa mtu attention
Ni matter tu ya kujicontrol otherwise simu ndo itakucontrol,.
Ujitahidi sio vzr uko na mtu we busy na simukwakweli huo mtihani najitahidi kuushinda lakini naambulia K.O
niombee maana hili pepo limeshanivuta shati aiseeUjitahidi sio vzr uko na mtu we busy na simu
Sawa ngoja nkuweke kwenye maombi pepo la simu litokeniombee maana hili pepo limeshanivuta shati aisee
nitashukuru mnoo kwakweliSawa ngoja nkuweke kwenye maombi pepo la simu litoke
Ni pale tu unapojisikia kuingia JF/ni sawa na unapohisi kiu ya maji ya kunywa na kuanza kuyatafutaUnawezaje kubalance.. una ratiba? au ni paleunapojiskia ngoja niingie JF.
ngoja nimpe niliyenaye muda?
Sisi tusio kwenye mahusiano wala hatuna familia haturuhusiwi kuchangia?
Wee acha tu ndugu yangu. Ni mateso bila chukiHata wwe upo chamani