Tujadili goli hili la nyota wetu Samatta:TATIZO HAPA NI VAR AU REFA?

Tujadili goli hili la nyota wetu Samatta:TATIZO HAPA NI VAR AU REFA?

Offside inaanza kuhesabika kwa yeyote ambae ameotea na ndio maana hata ukapokea mpira ukiwa umeotea na ukatoa pasi kwa mwingine ambae hajaotea na yeye akatoa assist bado itahesabika ni offside tu.

Offise ni kitendo cha mchezaji kuzidi kwa kiungo cha mwili except mkono tu, no matter katoa assist au kafunga kwa uelewa wangu mimi.

Nakaribisha ukosoaji kwa aneelewa tofauti na huu mtizamo wangu mimi.

Ito alikuwa offside ila Samatta hakuwa offside
Kwa uelewa wangu offside huwa ni mchezaji wa mwisho kuzidi wachezaji wengine,ndio mara ya kwanza kuona assist anakuwa offside,au ni sheria mpya
 
Kwa uelewa wangu offside huwa ni mchezaji wa mwisho kuzidi wachezaji wengine,ndio mara ya kwanza kuona assist anakuwa offside,au ni sheria mpya
Ito alikua offside kabla hajaupokea hata ule mpira ila refa pamoja na wasaidizi wake ndio walichelewa kufanya maamuz
 
Kwa uelewa wangu offside huwa ni mchezaji wa mwisho kuzidi wachezaji wengine,ndio mara ya kwanza kuona assist anakuwa offside,au ni sheria mpya

mtoa assist akiotea hiyo ni offside, si mara ya kwanza naona tukio kama hilo
 
Back
Top Bottom