Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Pengine labda wazazi wako walikuwa wakimbizi hivyo kupitia UNHCR wazazi wako wakapata hifadhi Tanzania na wewe kupata uraia wako kwa kuzaliwa Tanzania.
Uraia ulioupata ukakufanya upate elimu sawa na wa Tanzania wengine kiasi ya kujivunia utanzania.
Hivyo unautumia uraia wako wa kuzaliwa kuwaelekeza waliokupa uraia.
Ndio maana na wao wanaheshimu uraia wako, wanachofanya ni kukumbusha ulikotoka kwani kuzaliwa kwako Tanzania si mtaji tu wa uko ulikotoka bali kwa Tanzania.
Yakupasa kutumia mtaji huo kwa uangalifu mkubwa.