Tujadili hii kauli: Kuzaliwa Tanzania ni Mtaji

Pengine labda wazazi wako walikuwa wakimbizi hivyo kupitia UNHCR wazazi wako wakapata hifadhi Tanzania na wewe kupata uraia wako kwa kuzaliwa Tanzania.
Uraia ulioupata ukakufanya upate elimu sawa na wa Tanzania wengine kiasi ya kujivunia utanzania.
Hivyo unautumia uraia wako wa kuzaliwa kuwaelekeza waliokupa uraia.
Ndio maana na wao wanaheshimu uraia wako, wanachofanya ni kukumbusha ulikotoka kwani kuzaliwa kwako Tanzania si mtaji tu wa uko ulikotoka bali kwa Tanzania.
Yakupasa kutumia mtaji huo kwa uangalifu mkubwa.
 
Kuzaliwa Tanzania ni mtaji.

Lakini mtajiwa nani?

Wa viongozi. Wakienda nje kuomba misaada waseme tuna wananchimilionikadhaa wanahitaji msaada, wakipewa misaada wanaichikichia mifukoni mwao.

Kwa hiyo kweli, kuzaliwa Tanzania ni mtaji.

Wa viongozi.
Dah! nimecheka sana.
 
Dodoma kuna mashamba hadi laki 1 na hapo una smartphone ya laki 6 yani una eka sita...sasa kanunue hizo eka 6 dodoma halafu kaa miaka 15 ndo uje tena kuuliza kauli ya raisi ina maana gani...nadhan utakuwa ushapata jibu tyr..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…