Tujadili juu ya ubaguzi

Tatizo waafrika unafki umetuzidi. Ubaguzi upo kati ya sisi kwa sisi.

Na mimi naombea hao wazungu na other light skinned races wazidi kutubagua zaidi na zaidi hadi tutakapojitambua.
Kujitambua kupi mkuu unakomaanisha?
 
Mungu nae alitubagua sana sisi Wa Africa
Biblia na Qur'an zote zilitubagua je sisi black people tumekuja kwa bahati mbaya Duniani?
Unazungumzia watu weusi au waafrika? maana haya mambo ya rangi ni sie binaadamu ndio tunayakuza.
 
Waafrika hua wanajipendekeza sana kwa ngozi nyeupe lkn wao tukiwa kwao wala hawana time nasisi sijui kwanini.


Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini mitume wangi walikuwa weupe ? Mimi mtume wangu muhammad amani iwe juu yake hakuwa mweupe wala wala hakuwa mweusi
 
Mungu nae alitubagua sana sisi Wa Africa
Biblia na Qur'an zote zilitubagua je sisi black people tumekuja kwa bahati mbaya Duniani?


Allah wetu aliyejuu si mbaguzi wala hakuwahi kuwa mbaguzi.
 
Daaaa nimesoma kisa chako nimesikitika sana....!
 
Yaani bora ubaguliwe ukiwa nchi za ugenini..utajipa matumaini kidogo kwamba wamenibagua kwasababu ya rangi kuliko upo kwenu halafu ndugu yako(mweusi mwenzio)anakubagua mbele ya wageni(weupe)aisee inauma eti...na ndio maana na wao kutudharau/bagua tukiwa kwao hawaoni shida si wanajua sisi kwa sisi twabaguana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…