Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267
Kwanza sikiliza hii:
View attachment 3113067 Tundu Lissu anasema katika voice note hii;

"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."

".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....."

"......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa instructions kwa wakili wangu Bob Amsterdam na mawakili wenzake. Na kama atahitaji mawakili wengine wa ziada kutoka Marekani, Uingereza, ulaya waendelee maana nimeshawapa hayo maagizo...."

Nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu Tundu Lissu na influence yake kitaifa na kimataifa:

1. Kwamba, bila shaka huyu jamaa (TL) ana ukwasi wa kutosha sana kiasi cha kumudu kulipia gharama za kesi hii katika mahakama za nje ya nchi (Ulaya & Marekani)...

2. Au, Je kuna mashirika ya msaada wa kisheria huko duniani au watu binafsi ambao wameamua ku - sympathize naye baada ya madhira yaliyompata mwaka 2017 ya kunusurika kifo cha risasi 37 kisha akatelekezwa hospitalini na mwajiri wake (Bunge/Serikali ya Tanzania), akanyimwa haki zake zote na hivyo hawa watu wamejitolea kumsadia kupata haki yake...?

3. Honestly, kama hii kesi itafunguliwa ktk mahakama za kimataifa huko nje ya nchi, basi naweza kuamini bila shaka yoyote kuwa huyu mtu si wa kawaida, ni wa kipekee sana....!

=============================================

Huyu wakili wa Tundu Lissu, Robert "Bob" Amsterdam ni nani hasa..?

Mr Robert "Bob" Ross Amsterdam (born January 1956) is a Canadian international lawyer of the law firm Amsterdam & Partners, with offices in Washington, D.C., and London.

Major cases he won

Some of his most well known cases were related to early work in Africa and Latin America. Amsterdam won international litigation on behalf of the Four Seasons Hotel and Resort Group in Venezuela. He also worked the well known Gutierrez case in Guatemala, which involved representing the victims of one of the country's largest alleged tax fraud and money laundering schemes. Amsterdam would go on to represent political prisoners such as Eligio Cedeño in Venezuela, African political leaders such as Nigeria's Nasir Ahmad el-Rufai, and democracy advocates such as Singapore's Dr. Chee Soon Juan.

Yukos case

In 2003, Amsterdam was retained by the Russian company Yukos-Group MENATEP to defend former CEO Mikhail Khodorkovsky.

In 2005, Khodorkovsky was sentenced to eight years in jail. On the night of the verdict, Amsterdam was accosted by plainclothes security agents in the middle of the night at his hotel room, who attempted to arrest him before he could call his colleagues in the media.[13] In the years since leaving Russia, Amsterdam engaged in a media campaign for the Yukos Group-MENATEP and Khodorkovsky cases.[14]

Thaksin Shinawatra

Further information: 2010 Thai political protests and 2010 Thai military crackdown

Robert Amsterdam was hired in May 2010 by former Thai Prime Minister Thaksin Shinawatra to serve as international lawyer and adviser to the defence counsel of the "Red Shirts," formal name the United Front for Democracy Against Dictatorship (UDD).

In 2010, Robert Amsterdam "urged the international community not to tolerate the government's violent crackdown on self-proclaimed peaceful protesters", and published a list of alleged human rights and international law violations committed during what he called the "Bangkok massacres".

During the 2013–14 Thai political crisis, Amsterdam delivered a speech to a massive Red Shirt rally in Bangkok. Former Democrat Party member and anti-government protest leader Suthep Thaugsuban criticized Amsterdam for it, to which Amsterdam responded naming Suthep as a Thai Taliban.

Kim Dotcom

He is now part of the legal team representing Kim Dotcom, the Internet entrepreneur in the Megaupload legal case.

Republic of Turkey

Robert Amsterdam and firm were involved in efforts to sue the Gülen movement as part of a wider effort by the Turkish government to suppress it..

Russia-Trump

According to Robert Amsterdam in an April 2017 article in The Independent, there was "no question" that the FBI and United States intelligence agencies had information about Russian entities that had financial relationships with Trump prior to the 2016 United States elections..
 
..kesi za madai kama hizo, mawakili huzitetea kwa MAKUBALIANO kwamba, mteja akishinda na atakapolipwa, asilimia fulani ya malipo hayo itakwenda kwa mawakili.

..kwa kifupi mawakili " hunusa " na kuona kama kesi ina MASHIKO ya kutosha na hivyo kuamua kuwekeza nguvu na rasilimali zao.
 
Honesty mtu kapigwa Risasi 38, 18 zimeingia mwilini, zimemuumiza vibaya sana, na kumpa kilema cha maisha. Psychological, physically kote ameathirika, traumatized.

Anaelezea story hii kinadharia na ufasaa, kupona kwakwe ni miracle! Nani atashindwa kum elewa? Ni shetani tu ambaye hawezi kuelewa. Geuza kibao ungekuwa wewe?

It was barbaric & satanic!!

Mie siwezi hata ku-doubt, he is the victim of the system
 
Hata mawakili wasiokuwa na njaa vile vile wapo.
 
Lissu anavuna alichopanda, kwa mtu mwenye akili timamu ukiwa katika ardhi ya Africa tena mwanasiasa, hauwezi kuita waandishi wa habari tena mchana kweupe ukashika maiki na kusema "Tuna Raisi wa HOVYO na serikali ya HOVYO HOVYO, ukabaki salama. Serikali ni taasisi hata machawa wa Raisi hawawezi kukuacha salama. Hata Mange Kimambi anaropoka akiwa huko USA. Wenzake akina Sativa na Boni Yai wanapata joto la jiwe. Huwa nasema Lissu ana akili nyingi za darasani ila ukija kwenye elimu dunia ni ZERO. Hata hii kesi hawezi kushinda hata afanyeje. TIGO Sasa hivi inamilikiwa na Rostam Azizi. Kwa wanaomjua vizuri Rostam watanielewa ninachomaanisha. Hao akina Amsterdam kwa level ya Rostam ni kenge tu. Mkiweka mahaba na Lissu pembeni mtanielewa.
 
Wewe inakuhusu nini?
Inanihusu kwa kuwa TL ni kiongozi wangu, Rais wangu ajaye bila shaka 2025 —

Na kwa upande mmoja natamani sana huyu mtu apate haki yake na waliofanya unyama ule tuwajue...

Kuna ubaya kwani ndugu Benjamini Netanyahu iwapo natamani na kuhusiana naye kwa namna hii?
 
Lisu ni international figure anaweza kupata pesa popote pale
 
Lissu anavuna alichopanda,
Amepanda nini kwani na amevuna nini...?
kwa mtu mwenye akili timamu ukiwa katika ardhi ya Africa tena mwanasiasa, hauwezi kuita waandishi wa habari tena mchana kweupe ukashika maiki na kusema "Tuna Raisi wa HOVYO na serikali ya HOVYO HOVYO, ukabaki salama.
Unajua hata maana ya "serikali" kweli wewe au unabwabwaja tu ndugu...?

Serikali na Rais wote ni watu, binadamu waendao chooni, wenye tamaa na matamanio....

Kama ambavyo unaweza kuwa na serikali ya watu na Rais mzuri kabisa, vivyo hivyo kuna wakati mnaweza kuwa na serikali na Rais wa hovyo kwelikweli kama alivyokuwa John P. Magufuli na CCM yake na kama ilivyo sasa ya Chura Kiziwi Samia Suluhu Hassan na CCM yenu...

Ndio maana serikali na Ma - Rais huja na kuondoka. Rais na serikali yake aweza kuondolewa kwa amani au kwa shari na kwa lazima awe anataka au hataki...

Kwa hiyo toa ujinga huo ulionao kichwani mwako kwa kudhani serikali au Rais ni miungu fulani isiyostahili kuguswa badala ifanye chochote itakavyo...
Serikali ni taasisi hata machawa wa Raisi hawawezi kukuacha salama...
Mjinga wewe chawa usiyestahili wewe....

Chawa ni wadudu wachafu, wanyonya damu na wanaweza kufa hata kwa dawa ya mbu tu...!

Hata Mange Kimambi anaropoka akiwa huko USA. Wenzake akina Sativa na Boni Yai wanapata joto la jiwe. Huwa nasema Lissu ana akili nyingi za darasani ila ukija kwenye elimu dunia ni ZERO.
Unavyoandika, mtu anaweza kudhani una akili kweli, kumbe unaandika out of your stupidity & ignorance...

Hebu soma hapo kwenye bold ink. Unaweza kuliambia jukwaa hili tofauti ya "akili za darasani" na "elimu dunia?". Najua hmeona ulivyojichanganya mwenyewe. Ni ushahidi wa wazi kuwa hujui kuwa hujui lakini unadhani kuwa unajua...
Hata hii kesi hawezi kushinda hata afanyeje. TIGO Sasa hivi inamilikiwa na Rostam Azizi. Kwa wanaomjua vizuri Rostam watanielewa ninachomaanisha. Hao akina Amsterdam kwa level ya Rostam ni kenge tu. Mkiweka mahaba na Lissu pembeni mtanielewa.
Duuh, wewe bila shaka ni mwanafunzi wa propaganda hapo Lumumba B7FC maana arguments zako ni kama mwanafunzi wa darasa la nne hivi...

Pole sana kwa ufahamu mdogo ulionao ktk mambo haya...
 
Lisu ni international figure anaweza kupata pesa popote pale
I agree...

Nimelileta hapa ili kufikirishana...

Mimi mwenyewe nilijiuliza sana, kama mtu huyu ana recognition ya kimataifa, bila shaka basi ni very influential person, mwenye ushawishi mkubwa huko nje na watu wanaijua thamani yake...
 
Ukiona mtu wanataka CCM kumuua ujue huyo mtu ni muhimu sn duniani
 
Kwanza sikiliza hii:
View attachment 3113067 Tundu Lissu anasema katika voice note hii;

"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."

".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....."

"......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa instructions kwa wakili wangu Bob Amsterdam na mawakili wenzake. Na kama atahitaji mawakili wengine wa ziada kutoka Marekani, Uingereza, ulaya waendelee maana nimeshawapa hayo maagizo...."

Nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu Tundu Lissu na influence yake kitaifa na kimataifa:

1. Kwamba, bila shaka huyu jamaa (TL) ana ukwasi wa kutosha sana kiasi cha kumudu kulipia gharama za kesi hii katika mahakama za nje ya nchi (Ulaya & Marekani)...

2. Au, Je kuna mashirika ya msaada wa kisheria huko duniani au watu binafsi ambao wameamua ku - sympathize naye baada ya madhira yaliyompata mwaka 2017 ya kunusurika kifo cha risasi 37 kisha akatelekezwa hospitalini na mwajiri wake (Bunge/Serikali ya Tanzania), akanyimwa haki zake zote na hivyo hawa watu wamejitolea kumsadia kupata haki yake...?

3. Honestly, kama hii kesi itafunguliwa ktk mahakama za kimataifa huko nje ya nchi, basi naweza kuamini bila shaka yoyote kuwa huyu mtu si wa kawaida, ni wa kipekee sana....!

=============================================

Huyu wakili wa Tundu Lissu, Robert "Bob" Amsterdam ni nani hasa..?

Mr Robert "Bob" Ross Amsterdam (born January 1956) is a Canadian international lawyer of the law firm Amsterdam & Partners, with offices in Washington, D.C., and London.

Major cases he won

Some of his most well known cases were related to early work in Africa and Latin America. Amsterdam won international litigation on behalf of the Four Seasons Hotel and Resort Group in Venezuela. He also worked the well known Gutierrez case in Guatemala, which involved representing the victims of one of the country's largest alleged tax fraud and money laundering schemes. Amsterdam would go on to represent political prisoners such as Eligio Cedeño in Venezuela, African political leaders such as Nigeria's Nasir Ahmad el-Rufai, and democracy advocates such as Singapore's Dr. Chee Soon Juan.

Yukos case

In 2003, Amsterdam was retained by the Russian company Yukos-Group MENATEP to defend former CEO Mikhail Khodorkovsky.

In 2005, Khodorkovsky was sentenced to eight years in jail. On the night of the verdict, Amsterdam was accosted by plainclothes security agents in the middle of the night at his hotel room, who attempted to arrest him before he could call his colleagues in the media.[13] In the years since leaving Russia, Amsterdam engaged in a media campaign for the Yukos Group-MENATEP and Khodorkovsky cases.[14]

Thaksin Shinawatra

Further information: 2010 Thai political protests and 2010 Thai military crackdown

Robert Amsterdam was hired in May 2010 by former Thai Prime Minister Thaksin Shinawatra to serve as international lawyer and adviser to the defence counsel of the "Red Shirts," formal name the United Front for Democracy Against Dictatorship (UDD).

In 2010, Robert Amsterdam "urged the international community not to tolerate the government's violent crackdown on self-proclaimed peaceful protesters", and published a list of alleged human rights and international law violations committed during what he called the "Bangkok massacres".

During the 2013–14 Thai political crisis, Amsterdam delivered a speech to a massive Red Shirt rally in Bangkok. Former Democrat Party member and anti-government protest leader Suthep Thaugsuban criticized Amsterdam for it, to which Amsterdam responded naming Suthep as a Thai Taliban.

Kim Dotcom

He is now part of the legal team representing Kim Dotcom, the Internet entrepreneur in the Megaupload legal case.

Republic of Turkey

Robert Amsterdam and firm were involved in efforts to sue the Gülen movement as part of a wider effort by the Turkish government to suppress it..

Russia-Trump

According to Robert Amsterdam in an April 2017 article in The Independent, there was "no question" that the FBI and United States intelligence agencies had information about Russian entities that had financial relationships with Trump prior to the 2016 United States elections..
Hata hujui unachoongea. Hiyo kesi ina maslahi makubwa wanajuwa pesa atakazolipwa Lissu wanaweza hata wakapambana waje kuchukuwa mkwanja mwishoni.

Wanasheria wa mambele wako vizuri sana hata kiuchumi.

Pia hilo la mashirika kusaidia victims wa political crimes including attempted assassinations wapo.
 
Lissu atakuwa kwenye Orodha ya matajiri kwa ushindi wa Mahakamani hapa Tanzania,Aibu yake mihanyenye Jobo Ndogai kwa kumnyima hela za matibabu huku akijua si Sawa!
Jerusalem2006 mwana CCM mwenye akili finyu kabisa kuwahi kuwaona na kusoma mawazo yao, anasema hawezi kushinda kesi hii kwa sababu kampuni ya TIGO kwa sasa inamilikiwa na Rostam Aziz...!

Kwa mujibu wa Jerusalem2006, Rostam Aziz ni mtu Bab kubwa kweli na akina Bob Amsterdam na kampuni yake ya uwakili eti ni kenge tu...!
 
Lissu anavuna alichopanda, kwa mtu mwenye akili timamu ukiwa katika ardhi ya Africa tena mwanasiasa, hauwezi kuita waandishi wa habari tena mchana kweupe ukashika maiki na kusema "Tuna Raisi wa HOVYO na serikali ya HOVYO HOVYO, ukabaki salama. Serikali ni taasisi hata machawa wa Raisi hawawezi kukuacha salama. Hata Mange Kimambi anaropoka akiwa huko USA. Wenzake akina Sativa na Boni Yai wanapata joto la jiwe. Huwa nasema Lissu ana akili nyingi za darasani ila ukija kwenye elimu dunia ni ZERO. Hata hii kesi hawezi kushinda hata afanyeje. TIGO Sasa hivi inamilikiwa na Rostam Azizi. Kwa wanaomjua vizuri Rostam watanielewa ninachomaanisha. Hao akina Amsterdam kwa level ya Rostam ni kenge tu. Mkiweka mahaba na Lissu pembeni mtanielewa.
Kwa hiyo unapigilia msatari kuwa ni kweli serikali ndiyo ilipanga na kutekeleza mpango wa kutoa uhai wake. Uzuri huyo Rais wa hovyo aliyetoa amri ya Lissu kuuwawa ndiye kafa kibudu na yuko motoni sasa na Lissu anaendelea kuishi.
 
Kwanza sikiliza hii:
View attachment 3113067 Tundu Lissu anasema katika voice note hii;

"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."

".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....."

"......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa instructions kwa wakili wangu Bob Amsterdam na mawakili wenzake. Na kama atahitaji mawakili wengine wa ziada kutoka Marekani, Uingereza, ulaya waendelee maana nimeshawapa hayo maagizo...."

Nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu Tundu Lissu na influence yake kitaifa na kimataifa:

1. Kwamba, bila shaka huyu jamaa (TL) ana ukwasi wa kutosha sana kiasi cha kumudu kulipia gharama za kesi hii katika mahakama za nje ya nchi (Ulaya & Marekani)...

2. Au, Je kuna mashirika ya msaada wa kisheria huko duniani au watu binafsi ambao wameamua ku - sympathize naye baada ya madhira yaliyompata mwaka 2017 ya kunusurika kifo cha risasi 37 kisha akatelekezwa hospitalini na mwajiri wake (Bunge/Serikali ya Tanzania), akanyimwa haki zake zote na hivyo hawa watu wamejitolea kumsadia kupata haki yake...?

3. Honestly, kama hii kesi itafunguliwa ktk mahakama za kimataifa huko nje ya nchi, basi naweza kuamini bila shaka yoyote kuwa huyu mtu si wa kawaida, ni wa kipekee sana....!

=============================================

Huyu wakili wa Tundu Lissu, Robert "Bob" Amsterdam ni nani hasa..?

Mr Robert "Bob" Ross Amsterdam (born January 1956) is a Canadian international lawyer of the law firm Amsterdam & Partners, with offices in Washington, D.C., and London.

Major cases he won

Some of his most well known cases were related to early work in Africa and Latin America. Amsterdam won international litigation on behalf of the Four Seasons Hotel and Resort Group in Venezuela. He also worked the well known Gutierrez case in Guatemala, which involved representing the victims of one of the country's largest alleged tax fraud and money laundering schemes. Amsterdam would go on to represent political prisoners such as Eligio Cedeño in Venezuela, African political leaders such as Nigeria's Nasir Ahmad el-Rufai, and democracy advocates such as Singapore's Dr. Chee Soon Juan.

Yukos case

In 2003, Amsterdam was retained by the Russian company Yukos-Group MENATEP to defend former CEO Mikhail Khodorkovsky.

In 2005, Khodorkovsky was sentenced to eight years in jail. On the night of the verdict, Amsterdam was accosted by plainclothes security agents in the middle of the night at his hotel room, who attempted to arrest him before he could call his colleagues in the media.[13] In the years since leaving Russia, Amsterdam engaged in a media campaign for the Yukos Group-MENATEP and Khodorkovsky cases.[14]

Thaksin Shinawatra

Further information: 2010 Thai political protests and 2010 Thai military crackdown

Robert Amsterdam was hired in May 2010 by former Thai Prime Minister Thaksin Shinawatra to serve as international lawyer and adviser to the defence counsel of the "Red Shirts," formal name the United Front for Democracy Against Dictatorship (UDD).

In 2010, Robert Amsterdam "urged the international community not to tolerate the government's violent crackdown on self-proclaimed peaceful protesters", and published a list of alleged human rights and international law violations committed during what he called the "Bangkok massacres".

During the 2013–14 Thai political crisis, Amsterdam delivered a speech to a massive Red Shirt rally in Bangkok. Former Democrat Party member and anti-government protest leader Suthep Thaugsuban criticized Amsterdam for it, to which Amsterdam responded naming Suthep as a Thai Taliban.

Kim Dotcom

He is now part of the legal team representing Kim Dotcom, the Internet entrepreneur in the Megaupload legal case.

Republic of Turkey

Robert Amsterdam and firm were involved in efforts to sue the Gülen movement as part of a wider effort by the Turkish government to suppress it..

Russia-Trump

According to Robert Amsterdam in an April 2017 article in The Independent, there was "no question" that the FBI and United States intelligence agencies had information about Russian entities that had financial relationships with Trump prior to the 2016 United States elections..
pro bono
 
Hata hujui unachoongea.
Kwa upande fulani naweza nisiwe najua, Yes. Ndio maana mjadala uko mezani, tujadiliane...
Hiyo kesi ina maslahi makubwa wanajuwa pesa atakazolipwa Lissu wanaweza hata wakapambana waje kuchukuwa mkwanja mwishoni.
Hii ndiyo hoja sasa...

Kwamba, wanaweza kuwa wanatumia huduma ya kisheria bure kwa sasa kwa kuwa wanajua kesi hii Tundu Lissu atashinda na kulipwa mamilioni ya dola na wao kupata malipo yao...

This makes big sense...
Wanasheria wa mambele wako vizuri sana hata kiuchumi.
Nakubaliana na wewe..
 
Amepanda nini kwani na amevuna nini...?

Unajua hata maana ya "serikali" kweli wewe au unabwabwaja tu ndugu...?

Serikali na Rais wote ni watu, binadamu waendao chooni, wenye tamaa na matamanio....

Kama ambavyo unaweza kuwa na serikali ya watu na Rais mzuri kabisa, vivyo hivyo kuna wakati mnaweza kuwa na serikali na Rais wa hovyo kwelikweli kama alivyokuwa John P. Magufuli na CCM yake na kama ilivyo sasa ya Chura Kiziwi Samia Suluhu Hassan na CCM yenu...

Ndio maana serikali na Ma - Rais huja na kuondoka. Rais na serikali yake aweza kuondolewa kwa amani au kwa shari na kwa lazima awe anataka au hataki...

Kwa hiyo toa ujinga huo ulionao kichwani mwako kwa kudhani serikali au Rais ni miungu fulani isiyostahili kuguswa badala ifanye chochote itakavyo...

Mjinga wewe chawa usiyestahili wewe....

Chawa ni wadudu wachafu, wanyonya damu na wanaweza kufa hata kwa dawa ya mbu tu...!

Unavyoandika, mtu anaweza kudhani una akili kweli, kumbe unaandika out of your stupidity & ignorance...

Hebu soma hapo kwenye bold ink. Unaweza kuliambia jukwaa hili tofauti ya "akili za darasani" na "elimu dunia?". Najua hmeona ulivyojichanganya mwenyewe. Ni ushahidi wa wazi kuwa hujui kuwa hujui lakini unadhani kuwa unajua...

Duuh, wewe bila shaka ni mwanafunzi wa propaganda hapo Lumumba B7FC maana arguments zako ni kama mwanafunzi wa darasa la nne hivi...

Pole sana kwa ufahamu mdogo ulionao ktk mambo haya...
Baada ya kuelezaea yote hayo toka hadharani na wewe ita waandishi wa habari na shika maiki useme "TUNA SERIKALI YA HOVYO NA RAISI WA HOVYO",kama hujajikuta UNUNIO UKIWA mifupa. Kama hauwezi kufanya hivyo basi nipo SAHIHI. Tumia akili utanielewa.
 
HUko kwa Waliondelea Kesi kama hizi, mawakili wanazikimbilia.
Mwisho wa siku kuna uwezekano wa pesa nzuri.
Absolutely, Yes...

Hii ina make sense 100%
Kwa upande mwingine Lissu analipwa kwa kipindi kile alichokuwa akitetea watu bure au kwa malipo kidogo.
Yes, ile kanuni ya "Tenda wema nenda zako, malipo mbinguni" ina - reciprocate...

Au ile ya "malipo ni hapa hapa duniani". Kama mtu alipanda wema, atalipwa wema na kama alipanda ubaya atalipwa mabaya vivyo hivyo hapa hapa duniani..

Tundu Lissu anapokea malipo ya wema wake aliopanda miaka mingi kwa binadamu wenzake....

Jerusalem2006 upo? Unaelewa haya kweli wewe...???
 
Back
Top Bottom