Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

Baada ya kuelezaea yote hayo toka hadharani na wewe ita waandishi wa habari na shika maiki useme "TUNA SERIKALI YA HOVYO NA RAISI WA HOVYO",kama hujajikuta UNUNIO UKIWA mifupa. Kama hauwezi kufanya hivyo basi nipo SAHIHI. Tumia akili utanielewa.
Hii serikali ni ya hovyo kwelikweli...

Safari hii huko Ununio mtaokotwa nyie, kenge mdhoofu kabisa wewe...

Unashabikia mauji badala ya kuyakataa? Mashetani wakubwa nyie...!!!
 
Yes ni kweli, kama kesi ya kina ay na mwana fa ,aliyoifanya msando
 
Hii serikali ni ya hovyo kwelikweli...

Safari hii huko Ununio mtaokotwa nyie, kenge mdhoofu kabisa wewe...

Unashabikia mauji badala ya kuyakataa? Mashetani wakubwa nyie...!!!
Mkuu punguza mihemuko, naongelea uhalisia sio kama shabiki wa Lissu. Nimekwambia ita Millard Ayo na media nyingine ukiwa hapa nchini, shika maiki sema tuna Raisi wa HOVYO na serikali ya HOVYO HOVYO, kama hauwezi basi nipo SAHIHI na wewe na Lissu wako mpo wrong. Brother hii ni Africa there's no guarantee of freedom after Speech. Nasisitiza, tumia akili utanielewa.
 
Kwa hiyo unapigilia msatari kuwa ni kweli serikali ndiyo ilipanga na kutekeleza mpango wa kutoa uhai wake. Uzuri huyo Rais wa hovyo aliyetoa amri ya Lissu kuuwawa ndiye kafa kibudu na yuko motoni sasa na Lissu anaendelea kuishi.
Hilo kwenye bold ink hakuna ajuaye rafiki. Hiyo ni siri yake Mungu mwenyewe aonaye ndani kabisa ya mioyo ya watu..

Inawezekana dakika ya mwisho ya lala salama alitubu na kusamehewa dhambi zake. Unakumbuka yule mwizi msalabani aliyeitwa Baraba aliyesulubiwa msalabani pamoja na Yesu Kristo? Palepale msalabani wakiwa wawili tu na Yesu alitubu na kusamehewa dhambi zake na kuokolewa. Yesu alimwambia "leo hii utakuwa nami peponi". Lakini binadamu waliomwona amesulubiwa, wao akili na mtazamo wao HUYO NI MWENYE DHAMBI SANA, ANAENDA MTONI...

Hata sisi kwa Magufuli hatujui walimalizana vipi na Mungu muumba wake kabla hajakata roho. Inawezekana alitubu...

Sisi tunachojua moja tu ni kuwa, kumbukumbu ya uongozi wake na maisha yake hapa duniani haikuwa nzuri, alikuwa Rais muuaji, mbinafsi aliyejali maslahi yake ya kisiasa tu, ambaye hakuwa na utu wala ubinadamu na ndiyo aliamuru mtu asiye na hatia Tundu Lissu auwawe kwa kupigwa risasi 37 na hata aliposhindwa kumuua, ili kuhakikisha anateseka milele alimfanya kilema, akai - traumatize familia yake, ndugu zake, chama chake na taifa lote la TZ na dunia nzima na kisha serikali/Bunge (mwajiri wake) kumtelekeza hospitalini akioewa matibabu na kumnyima haki zake zote za utumishi..?

Hii haikuwa sawa wala haki hata kidogo...!!

Jerusalem2006 upo na unaelewa haya?
 
Kichwa chako kiko sawa kweli au umekula bangi na gongo kidogo..?

Na kwa hiyo wewe na wenzako huko ndiyo wauaji kwa kuwa tu watu wanasema Serikali au Rais ni wa hovyo, au siyo ndugu Jerusalem2006 ?

By the way mtu akisema hii "Rais ni hovyo" au "serikali ni ya hovyo hovyo" anakuwa ametenda kosa kwa mujibu wa sheria ipi ndugu Jerusalem2006 hata astahili kufa..?

Mzee Ally Kibao alikosa nini hata mkamuua? Uko sawa kichwani kweli wewe...?

Sio kwamba wewe ndiye hasa mwenye "mihemuko" tu maana hata hujui unajadili nini na hata hujui serikali ni kitu gani, inapatikanaje na inafanyaje kazi..?
 
Kaoge kwanza,upake mafuta!
 

Serikali yetu SIKIVU pamoja na TIGO ndiyo watalipia gharama za hiyo kesi.
 
Bado anaishi, na fikra zake zinaisha.

Umewahi kujiuliza msimamo wangu kwenye maisha ni upi?

Una uwezo wa kusimamia unachokiamini ikibidi kuhatarisha maisha yako?
 
Punguani hawatakisekana duniani hadi kiama sawa na maskini!
 
Pamoja mkuu.
 
Bado anaishi, na fikra zake zinaisha.

Umewahi kujiuliza msimamo wangu kwenye maisha ni upi?

Una uwezo wa kusimamia unachokiamini ikibidi kuhatarisha maisha yako?
Mkuu bila kupepesa macho jibu langu lipo clear, siwezi Fanya lolote kuhatarisha maisha yangu, utasema sina misimamo etc, ila naamini kwenye kupambana kubaki hai Duniani. Siamini kwenye kufa kishujaa, hata ningeingia jeshini nikawa vitani, mapambano yakizidi tukazidiwa nalala chini najipaka damu ilimradi nibaki hai. Hayo mengine baki nayo wewe, Mimi naamini maisha ni hayahaya, Sasa Lissu anaongeaga kufurahisha watu matokeo yake inawezekana hawezi ku.tomba tena sababu ya risasi, Sasa raia unaowapigania wamekusaidia nini!?,, nikisema ana akili za darasani ila za Duniani hana nakosea!?!?,. Umewahi kumuona Mbowe anakashifu mamlaka extremely!?..
 
Yaani kukomaa kote huko unaongelea akili za duniani mara elimu dunia, kumbe akili yako inaishia kwenye kutomba tu! Kazi kwelikweli!

Hii dunia ingejaa watu wa aina yako, hadi leo tungekuwa na ustaarabu wa zama za kale za mawe. Wewe ni aibu ya taifa.
 
Yaani kukomaa kote huko unaongelea akili za duniani mara elimu dunia, kumbe akili yako inaishia kwenye kutomba tu! Kazi kwelikweli!

Hii dunia ingejaa watu wa aina yako, hadi leo tungekuwa na ustaarabu wa zama za kale za mawe. Wewe ni aibu ya taifa.
Nimeweka wazi, mengine baki nayo wewe. Sijaja Duniani kupigania haki. Ukitulia vizuri utanielewa, ukijaza siasa Duniani hauwezi kunielewa.
 
Luka 13:31-32
31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.

32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
 
Kuna uwezekano mkubwa Pdidy analipa au wa sampuli ya Pdidy anaewalea wanawe huko nje.
. Si waliberali wote hao?

. Upo coco beach unauliza baharini wapi?
 
Punguza kahawa mkuu za kwa ma shoe shine
 
..kwanza, mawakili watapima kama kesi ina mashiko.

..pili, malipo ya mawakili yatatokana na jinsi watakavyoweza kuwakamua wadaiwa ktk kesi ya Tundu Lissu, ambao ni Tigo.

..wakiwakamu Tigo vilivyo, kuna fungu litakwenda kwa mawakili, na lingine kwa Tundu Lissu.
 
Kuna uwezekano mkubwa Pdidy analipa au wa sampuli ya Pdidy anaewalea wanawe huko nje.
. Si waliberali wote hao?

. Upo coco beach unauliza baharini wapi?

..mwenyekiti wa chama kikubwa ndio tumeambiwa anatabia hizo kwa wanawake.
 
Nadhani case closed umeshamjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…