Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

Mkuu hakuna jurisdiction ya kuwashtaki hao watuhumiwa wa Lissu kwa pamoja na ukatoa binding judgement. Anachosema Lissu ni uthibitisho kuwa hakuna mtu hapo tuna mgonjwa wa afya ya akili
 
Mkuu hakuna jurisdiction ya kuwashtaki hao watuhumiwa wa Lissu kwa pamoja na ukatoa binding judgement. Anachosema Lissu ni uthibitisho kuwa hakuna mtu hapo tuna mgonjwa wa afya ya akili

..inasemekana Tigo iliwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wake walioshirikiana na mamlaka kumdukua Tundu Lissu.

..kwa msingi huo, Tigo wanakubali kwamba kampuni yao ilitenda makosa dhidi ya Tundu Lissu, na wanastahili adhabu ktk mkondo wa kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…