Tujadili Kiukweli (Wanaume tu)

Samahani...kwakweli usafi wa chumba hata kama una uvivu wa kufa mtu ni heri mama uchukue hatamu, beijing or no beijing...

Kuhusu kupika na kazi nyingine..kwakweli siku ya kazi no no no....wewe na mimi sote tumetoka kazini...

Kikubwa nitakachofanya ni kusimamia homework, na kuzuga kwa kuingia na kutoka jikoni lakini sipiki ng'o!

Mimi housegirl wangu ana off jumapili, hivyo hapo ndio nitapika...lakini kusema ukweli, mume wangu naye akiona najituma nayeye hajivungi jikoni..cooking is fun for us

Ila mtoa mada..huo unyenyekevu unaoutaka....hapana....

Kwa usawa wa kutafuta hela na kuchangia matumizi, ni vema na busara zaidi wanaume nanyi mkachangia shughuli baadhi, si lazima ila si vibaya pia
 

hapo umenena Truly
 
child labour, mpeleke shule huyo mtoto sio umgeuze punda tu hapo nyumbani kwako!
 

Mkuu kweli wewe ni ...... (Ngoja nikatafute jina la kukupa kwenye kamusi)
Tarudi
 
Kaka nakushauri ujaribu pia kumla makofi uyo shemeji, anaonekana anakuzowea vibaya. Mara moja tu atakamata adabu yake.
 
Hawa wanawake wa siku hizi sijui wameingiliwaje...na ibilisi. Ndugu yaelekea huyo mzazi mwenzio anakutengenezea mtego unase ili apate cha kusema na kusepa. Mke timamu hawezi kufanya hayo
 
Nakupa pole kwani anakupa majaribu. Majaribu hayana budi kuwapo kwani yanaimarisha iman bali ole wake aletaye majaribu kwani atafungwa jiwe shingoni na kutupwa baharin. Mim navyofaham ili uishi vema mara nyingi wife anatakiwa awe initiator wa jobs hata mume hutapenda kukaa alone utasogea nakuanza kupiga story huku mnasaidiana lakin kama initiator mvivu na anatuma hg kufanya na yeye anapiga umbea utamsaidiaje. Afu jamaa anaonekana anampenda sana wife wake ila wife hajajitambua kutimiza wajibu wake wa kurespond ile love na ndo maana anafanya hivyo. Inawezekana anadharau kuwa mbona wote tunafanya kazi, lakin kwenye mapenzi ebu ondoeni hiyo wekeni pembeni kwani mkianza kuonyesha viwango vya mishahara hapo aah upendo unapotea. Mapenz ya kweli hayafuati kiwango cha elimu, mishahara na vitu vya aina hiyo. Mimi ndivyo ninavyoishi na wife wangu ingawa ndo nimeanza tu. Ninapokuwa nipo free nasaidiana nae kufanya shughuli za nyumban kama kufua, kudeki nyumba na kupika, ingawa ilichukuwa muda kumcopisha wife. Viburi vipo sana kwa wanawake wa kisasa esp. Wafanyakazi lakin wanaume hatunabudi kuvumilia lakin pakiuma usikae kimya eti unavumilia, ung'ake usaidiwe kwa mawazo kama alivyofanya mkubwa hapa.
 
Duh pole,ila sidhani kama ukimdo huyo beki 3 eti ndo itaweza kumrekebisha mkeo?hapana bali utajiletea aibu tu.Nashauri ya kuwa kama mkeo hana kazi ni mama wa nyumbani tu muambie unamwachisha huyo beki 3 kazi na yeye ndo awe ana fanya kazi zote kwani pia atakosa muda wa kuzogoa ovyo,au huyo msichana awe ni wa kwenda na kurudi ili most za shughuli ndogo ndogo za hapo home afanye wife na wewe pia ukitoka job mnasaidiana.
 
bos wanawake cc ndo wa kumjenga au kumbomoa dnt alow her 2 rule u,have true lov then pale akikosea ka hvyo mchane maukwel kama akiwa mbish cna kisa kaz asepe kwa bba na mama ake afu umwoe bnt mwngne mwenyelewa nini kuzingua maisha haya
 

Mkuu hapa juu kaongee busara sanaaaaa,usilaumu bado nafasi unayoo,,,kaaa na mkeo tena katika hari ya mahaba ikiwaezekna ushampa dose ya kutosha yuko safi mpaka anasema baba nanii leo umenipania nini? alafu mwambie kwa mahaba kuwa kuna kitu hukipendi mpe ukweli sio kwa ukali,,,,

Wanume wengi tunakosea ukifika unafoka kinoma,, mwanzo tu,, na mabinti wetu tuno owa siku hizi tunataka waliotoka chuo wana kazi nao wanotoka job kama wewe amechoka utamweleza nini,,,,, bad enough toka kwao kazi zote anafanya beki 3, ndo ajifunze kufua kwako?

Foka baada ya juhudi zingine kushindikana hiyo ni baada kuona busara haisikilizwi mjomba. alafu kumgonga beki 3 ni uonevu na kukosa busara,,,,, amekuja kutafuta maisha yake hivi wewe huna wadogo zako killege kwenu try to think unagonga mdogo wako ikoje?.

wanawake tunaowa siku hizi hatukai tukawajua tabia tukigonga tukinogewa tunatangaza ndoa,,, mwanzoni ilitakiwa umwambie mie sipendi nguo zangu zifuliwe na beki3 and everything,,, now u r running out of time,,,, ongea nae ushalikologa fanya fasta kabla hujalinywa,,,, kuingia jikoni,, kuosha viombo,, kudeki nk,,hapo hujafukuzwa kazi,,, kibarua kikiota nyasi job ndo kazi zako hizo,,,,jipange
 

dawa ya wanawake wa siku hizi ni kuwachapia tu...tabia ya wanawake wa siku hizi waliodekezwa na mama zao mjini ni tofauti ya wanawake waliokulia kijijini hata ukimkuta msomi anajuwa majukumu yake...hawa wa mjini tangia wamezaliwa ni wafanyakazi kila kitu....ni wajanja tu ndio wameenda cooking classes ukubwani na bahati mbaya shule siku hizi hazifundishi wasichana domestic sciences.....sasa ili kuwagutua inatakiwa unachapa huyo mfanyakazi!!wengi siku hizi wamejifunza baada ya kutendwa...
 
mijanaume mingine bwana,mpaka viztu usafishiwe inakera sana
 
Mkuu hapa naona unatafuta excuse, ukiona kama ni kero sana basi tafuta Houseboy.

Ukigusa hapo huenda hata hiyo heshima unayopata sasa ikaisha wewe ndio ukaishia kuwanawisha wote mikono na kufua nguo


kwa huyo mama akimletea House boy itakuwa kamsogezea paka samaki
 
Kwangu ni tofauti my waifu wangu ananifanyia kila kitu kama mke, na cna tatizo naye hata kidogo!
 

Hous girl ni kwa ajili ya kufanya kazi ambazo hata mwanao angeweza kufanya wakati mama hayupo, lakini hili la kufua nguo za ndani (siri) ni aibu sana mimi hata wife wangu siwezi kumruhusu kunifulu nguo za ndani, hii ni aibu sana ndio maana mnatamani mabinti zenu nawe shemeji acha uvivu yakumbuke majukumu yako hata kama muna uwezo kwani mambo haya yako sana kwa watu wenye kauwezo
 

Kwani we mwanaume?? Then inaonyesha na ww ndo walewale,,tatizo wanawake wa siku hiz mnakatisha tamaa ya kuoa!! Hakuna usawa kati ya mume na mke! Tangu enzi na tangu mwanamke aliumbwa specifically kumuondoa upweke mwanaume(nukuu vitabu vitakatifu). Eva/HAWA aliweza kushawishiwa na nyoka/ibilisi pale alipokaa mbali na mmewe(Adam). Mtoa mada analalamika mkewe kutokuwa karibu nae na si kunyenyekewa kama unavyodhan!
 
Na machupi yalivyokuwa mazito duh sipati picha. nakushauri pia mnunulie mkeo washing machine labda itasaidia kidogo. Mie huwa mjanja kidogo jumamosi akitoka tu asubuhi ni wote chumbani na ndugu naeishi nae na hg cause chumba kikubwa sana bafuni ndio usiseme, lazima nipate msaada ili pawe safi anajua napata msaada ila yeye anakuwa hayupo. pia wakati mwingine tunafanya wote nafikiri hii ni nzuri zaidi, nakushauri mwambie mkeo unapenda kufanya nae usafi mfanye wote usisubiri afanye yeye tu.

Wanaume na mahg jaman mbona wanataka kututoa roho, ikishindikana mwambie ndugu yake amseme kama tu ni mvivu kupindukia na ndugu mwenyewe aiwe mtu mzima sana sababu atajisikia vibaya sana.ila kama mnapendana mi sioni hii ishu ya uvivu wake ikusumbue sababu watu wengine wameumbwa hivyo
 
Shame on you.....tena uombe hiyo roho ikutoke....solution ya tabia ya mkeo haiwezi kuwa kulala na huyo house girl.....i pity some women....
nashindwa hata kukushauri.....umeshafikiri kubaya sana.......:A S thumbs_down:

tulia kwanza, acha papara bibie,inaelekea na vingine unaviendea papara eee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…