Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 876
Samahani...kwakweli usafi wa chumba hata kama una uvivu wa kufa mtu ni heri mama uchukue hatamu, beijing or no beijing...Walaaa msijidanganye wale wanamama wanaosema vyumba wanashughulikia wenyewe huwa vyumba vyao havitamanishi hata kukaa nini kulala kwani viko shaghalabaghala yaani usafi wa kweli hufanya j mosi na pili kati ya wk huwa wananyoosha shuka wanachapa lapa , hs girl apige kazi mama nampa malavidavi mupenzi kana anapenda mchapakazi hy mke mvivu hakumchunguza kabla?
Kuhusu kupika na kazi nyingine..kwakweli siku ya kazi no no no....wewe na mimi sote tumetoka kazini...
Kikubwa nitakachofanya ni kusimamia homework, na kuzuga kwa kuingia na kutoka jikoni lakini sipiki ng'o!
Mimi housegirl wangu ana off jumapili, hivyo hapo ndio nitapika...lakini kusema ukweli, mume wangu naye akiona najituma nayeye hajivungi jikoni..cooking is fun for us
Ila mtoa mada..huo unyenyekevu unaoutaka....hapana....
Kwa usawa wa kutafuta hela na kuchangia matumizi, ni vema na busara zaidi wanaume nanyi mkachangia shughuli baadhi, si lazima ila si vibaya pia