goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
Natamani ufunguliwe mjadala wa korosho, yajadiliwe yafatayo! Maandalizi ya shamba, mavuno na mauzo (soko). Kwa kuanzia najua kwamba haijawahi kutokea pasiwe na malalamiko yanayohusu zo la Korosho kwa kila mwaka, iwe kwenye maandalizi ya shamba, mavuno hata mauzo. Nini tatizo hali ya kwamba hili ni zao linaloipatia taifa pesa nyingi kuliko zao lolote hapa Tz kwa sasa.