Nilitafuta kabla ya kupost sijaona unaweza nisaidia kuipataKuna mada humu Ndani ilishaletwa kuhusu hizi tofali.
Nilitafuta kabla ya kupost sijaona unaweza nisaidia kuipata
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nimepitia mkuu shukrani sanaUjenzi kutumia Interlocking blocks
Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je, kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania? Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi gani hasa wakati huu ambapo gharama za ujenzi zimepanda?www.jamiiforums.com
Ujenzi kutumia Interlocking blocks
Pitia comment ya mdau juu kidogo hapo uzi ushawahi kufunguliwa na kujadiliWeka bei zake uyo jamaa tuone