Tujadili kuhusu Tofali za kupachika

Tujadili kuhusu Tofali za kupachika

entry

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
286
Reaction score
539
Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, happy new year.
Leo katika kuperuzi kwangu katika mtandao wa facebook nimekutana na mtu anatangaza anatengeneza tofali za kupachika (interlock block) ni kitu kigeni kwangu naomba mwenye uelewa nacho anisaidie kuhusu hivi vitofali nimeambatanisha na picha.
Mjadala utapendeza kama utagusia
1.uimara
2. Unafuu wake ukilinganisha na hizi tofali za cement
3. Kwanini technolog hii haipendwi au aijajulikana
Nawasilisha nimeambatanisha na picha
Screenshot_20220101-202729_Facebook.jpg
View attachment 2065393

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nilitafuta kabla ya kupost sijaona unaweza nisaidia kuipata

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Ujenzi kutumia Interlocking blocks
 

Ujenzi kutumia Interlocking blocks
Nimepitia mkuu shukrani sana

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom