bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wengi saikolojia ya biashara hawanaKuna mtu anakuja anaulizia bei na hanunui ukwel ulivyosema kuwa huyo ambaye hanunui ndo WA kuwa nae kalibu sababu ya kutengeneza mnyororo mwingne WA watej,, wafanya biashala weng wamekalili wateja wao ila kutengeneza namna nyingne ya kupata watej Kwa wingi wanashindwa
Bandika bei halafu uone kama watauliza. Lakini shida ya ngozi nyeusi anadhania wewe mteja utahifadhi bei za vitu vyote kwenye maduka yote unayopita wakati wa shopping.Habari zenu,
Kuna hili suala nataka tujadili. Kuna hii hali ya wateja wanaokuja kwako mara kwa mara kununua bidhaa lakini kila wakija lazima waulizie bei.
Je, hii ni sahihi?
Pia mbaya kumjaji mteja kwa muonekano wake yaan mavazi au gari hizi ni hobbies tu wengine wanapesa mda wa kuvaa au hobbies za magari hana.Kama ulimjibu mwanz ndo umemkosa hvyo Tena,, ko kama jamaa alivyosema hapo Kuna wateja WA Leo na Kuna wateja WA kesho,
Life a made to be complicated we nenda nae tu hivyo hivyoMtu kauliza kilogramu 1 ya dagaa shingapi[emoji3480] anaambiwa elfu kumi.
Anauliza nusu kilo shingapi[emoji3480][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23]