Tujadili kwa mapana kauli ya Rais Samia ''Jeshi lisitumike na wanasiasa''

Tujadili kwa mapana kauli ya Rais Samia ''Jeshi lisitumike na wanasiasa''

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
Naomba tujadili kwa mapana na marefu kauli hii ya Rais Samia inaashiria nini? Najua humu kuna wachambuzi na ma-time traveller wengi wanaweza kutuonesha muelekeo

Akiwa Tanga alisema jeshi lisitumike na wanasiasa. Swali, mwanasiasa gani anataka kulitumia, na analitumiaje? Kwanini sasa hivi tunaambiwa hivi wakati wanasiasa wa CCM walilitumia kwa kupewa mabus kwa ajili ya kusafirisha wanaccm

Je, wanasiasa gani ambao Rais Samia hataki walitumie jeshi?

Suala la pili, jeshi lisiwe na upendeleo upendeleo gani ambao Rais anaumia ambalo jeshi limeonekana linataka kuufanya na kumkwaza boss wao mpaka analionya au kulitaka lisifanye hivyo hapendezwi na yanayotaka kufanyika.

Nini kinaendelea na ukiunganisha tetesi za kukamatwa na kushikiliwa kwa wanajeshi au mamluki wa Uganda na wa Zanzibar ambao wako ndani ya selo za jeshi na tetesi za kukamatwa Mafwele na jeshi zinaashiria kuna kitu jikoni kinapikwa japo mpishi haonekani
 
Ile ni kauli inaonesha kuwa ni jinsi gani anavyowaona watanganyika waliopo jeshini na waliopo uraiani walivyokuwa matahira kiasi cha kuwazuia JWTZ wasitumike kisiasa kwa maslahi ya kizalendo, isipokuwa wawe tayari kumlinde yeye dhidi ya tishio lolote linalohatarisha uraisi wake haramu.

Jana nilivyosikia majamaa yanampigia makofi baada ya kutoa ile kauli, nilitamani kushuka kwenye daladala.
 
Maana yake ni kwamba jeshi la wananchi lisichukue hatua yoyote kwa maovu wanayofanyiwa wananchi na serikali hii ya mchongo,yani wawe free kufanya maovu yao, jeshi la wananchi likiwatazama tu
 
Naomba tujadili kwa mapana na marefu kauli hii ya rais samia inaashiria nini najua humu kuna wachambuz na matimr traveller wengi wana weza kutuonesha muelekeo

Akiwa tanga alisema jesh lisitumike na wanasiasa swal mwanasiasa gan anataka kulitumia na analitumiaje kwanini sasa hiv tunaambiwa hiv wakat wanasiasa wa ccm walilitumia kwa kupewa mabus kwa ajil ya kusafirisha wana ccm

Je wanasiasa gan ambao rais samia hataka walitumia jesh

Swala la pili jesh li

Nini kinaendeleq na ukiunganisha tetes za kukamatwa na kushikiliwa kwa wana jesh au mamluko wa uganda na wa zanzibar ambao wako ndan ya selo za jesh na tetes za kukamatwa mafwele na jesh zinaashiria kuna kitu jikon kinapikwa japo mpish haonekani
Ukisikiliza ile hotuba kwa makini, utagundua kuna fuse moja au mbili zimekatika.
 
Back
Top Bottom