KafanyajeMSALITI HUYO AENDE TU.
Kuna Kauli moja aliwahi kusema Kikwete..Najiuliza tu, juzi tulisikia VP akisema asifikiri mtu yoyote nikiwemo Mimi (VP) kwamba hawezi kubadilishwa (irreplaceable).
Hazijisha wiki 2,Kinana OUT πππnipo hapa mtazamaji wa kimataifa kutoka umqontho Wesizwe
Au anasubiria Aende kwenye UnafuuYuko na mwenyekiti
Apewe gen Zhiki check wakatae kuweka age zakina Joe Biden
Alietoka Phillips mangula nae karesign...
Huyo ni vuvuzela tu la kusafishia njia wengine wapite.VIkundi ndani ya Chama Vinaongezeka..
Sijui Lucas Mwashambwa yuko kikundi gani
UnenguajiVIkundi ndani ya Chama Vinaongezeka..
Sijui Lucas Mwashambwa yuko kikundi gani
Kajiuzulu baada ya watoto wake nape na makamba kula kibuti.hauwezi kujiuzulu katika hali ambayo bosi wako kafanya jambo kama lile.ina maanisha UNAMPINGA.K
Kafanyaje
Kama kajiuzulu ilibidi Kamati ya CCM ndo iridhie na Sio Mwenyekiti kwa Mujibu wa Kanuni za Uchaguzi..Kajiuzulu baada ya watoto wake nape na makamba kula kibuti.hauwezi kujiuzulu katika hali ambayo bosi wako kafanya jambo kama lile.ina maanisha UNAMPINGA.
π€π€Mwenyekiti ni dictator?
Vyovyote iwavyo.KAAMUA KUONDOKA aondoke tu HAFAI.Kama kajiuzulu ilibidi Kamati ya CCM ndo iridhie na Sio Mwenyekiti kwa Mujibu wa Kanuni za Uchaguzi..
Vipi mwenyekitu kuridhia??
CCM ni moja na wana CCM wote ni wamoja.VIkundi ndani ya Chama Vinaongezeka..
Sijui Lucas Mwashambwa yuko kikundi gani
Kwani hii ni mara ya kwanza Komredi Kinana Kujiuzulu?! πΌπ π π
Sasa Bora hata Wangemwandikisha Barua ya kumlazimisha
Nipo ππ
Huo mtiririko ni kama amejiuzulu, na mnasema amefurushwaKama kuna lolote la ziada, nitafurahi kujifunza..
AMEFUKUZWA