Tujadili kwa uwazi kisheria kuhusu kujiuzulu kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Abdulrahman Kinana. Sheria, Katiba na Kanuni zihusike

Tujadili kwa uwazi kisheria kuhusu kujiuzulu kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Abdulrahman Kinana. Sheria, Katiba na Kanuni zihusike

Najiuliza tu, juzi tulisikia VP akisema asifikiri mtu yoyote nikiwemo Mimi (VP) kwamba hawezi kubadilishwa (irreplaceable).
Hazijisha wiki 2,Kinana OUT 😀😀😀nipo hapa mtazamaji wa kimataifa kutoka umqontho Wesizwe
Kuna Kauli moja aliwahi kusema Kikwete..
"CCM haina Mawazo ya Kubadilisha Mgombea Kwa mwaka 2025, Labda hapo mambo yatakapo vurugika Mbele"
Sasa sijajua Yamevurugika au bado
 
Kajiuzulu baada ya watoto wake nape na makamba kula kibuti.hauwezi kujiuzulu katika hali ambayo bosi wako kafanya jambo kama lile.ina maanisha UNAMPINGA.
Kama kajiuzulu ilibidi Kamati ya CCM ndo iridhie na Sio Mwenyekiti kwa Mujibu wa Kanuni za Uchaguzi..
Vipi mwenyekitu kuridhia??
 
Back
Top Bottom