kodi ya Tanzania
Member
- Apr 17, 2022
- 97
- 133
Habari wana wa JF!
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba tujadiliane machimbo ya BIDHAA hapa kariakoo, mfano wa BIDHAA zenyewe ni kama torch, kufuli, UDI, miswaki, rula, penseli, wembe, manila, viberiti vya gesi, vioo vidogo n.k kwa bei ya jumla pamoja na BIDHAA zingine za kijanja.
NB: Hatujadili maswala ya sukari ama ngano ni BIDHAA za kawaida na si vinywaji.
Ahsanteni