Tujadili mada ya evolution of man

Tujadili mada ya evolution of man

Joined
Jun 12, 2024
Posts
28
Reaction score
38
Wakuu salam za hap jukwaani.

Leo kuna kitu nilikuwa nafikiria sana.kama hapo title inavyosema.hivi kweli mwanadamu anatokana na nyani yani kwaakili ya kawaida tu unaweza kujiambia mwenyewe mm nimetokana na nyani hv kweli kabsa? Yani na wizara kabisa inapitisha hzo ni mada mwanafunzi anatakiwa ajifunze ama kweli viongozi watz akili bdo sana.

Au kwasababu tunatakiwa kukizi matakwa ya hawa jamaa ili ndo tupate misaada au.yan kitabu kinasema apes change from creatures to the morden man na sisi tunakubali.sema ndy hv ila kama watu/wizara inagundua hili kuna mada mashuleni zinatakiwa zisifundishwe kabsa kama hyo ya evolution of man na nyingne ip form four biology kuhusu mambo haya ya more will use become strong.

wakuu mnaeza saidia hii topic.naomba moderator usifute huu uzi
 
Wengine wanasema sisi watu weusi bado hatujafikia ile hatua ya mwisho ya 'evolution', kuna ukweli wowote?
 
nahisi huyu kwenye hii mada anatakiwa kujadiliwa.anaongea mubashara alafu anakwambia IT wamehack video
GSsKSbrWQAAO2Z1.jpg
 
Wengine wanasema sisi watu weusi bado hatujafikia ile hatua ya mwisho ya 'evolution', kuna ukweli wowote?
Hakuna kitu kama hicho. Evolution ni theory na sio fact. Kama ni hivyo basi Waafrica watakuwa wamestaarabika kuliko hao wanaooana wenyewe kwa wenyewe na kubadili jinsia kwa operation. Hakuna Muafrika anawaza huo upumbavu.

Homo-Sapiens sio species pekee za binadamu. Bali ni iliyobaki. Aina nyingine za binadamu zimetoweka hapa duniani.

Kitendo cha Homo-Sapiens kusurvive mpaka leo ni kimesababishwa na uwezo wa akili na walio na bongo advanced zaidi.

Theory makini inayokuwa supported na hata mafuvu yanayochimbwa hapa Tanzania. Out of Africa. Kwamba species za binadamu wa kisasa yaani Homo-Sapiens. Walitoka Africa ya Mashariki. Ilipo Tanzania. Then wakasambaa dunia nzima. Miaka 200,000-300,000 iliyopita kama sikosei. Hata binadamu wa kwanza kufika Europe alikuwa mweusi tii zaidi ya mkaa.

Tofauti za kimwili kama ngozi, nywele, macho na mafuvu ya vichwa ni yametokana na binadamu kuadapt mazingira tofauti tofauti.

Waafrica wana nywele fupi ila nyingi kupitiliza kichwani kwa sababu ya joto kali, na wingi wake ili kukinga kichwa na mionzi mikali ya jua.
Wana ngozi nyeusi sababu ya melanin kuzalishwa kwa wingi ili kujikinga na mionzi mikali ya jua vilevile. Na ndio maana ukikaa sana juani unakuwa mweusi na Europeans wakikaa juani wanakuwa weusi, tanned.
Europeans na Asians wana nywele ndefu sababu ya mwili kutoa vinywelea vingi ili kujikinga baridi kali la North.
Wana ngozi nyeupe sababu ngozi imepunguza uzalishwaji wa melanin ili kupata virutubisho mionzi ya jua. Ukienda Europe au USA utaona jinsi gani anga lilivyo dark. Na mostly sababu wako north maana yake jua halipigi sana kama hapa katikati ya dunia, yaani Africa.
Wana Jaw nyuso pana sababu North na West upatikanaji wa vyakula vya mimea ni ngumu sababu ya baridi. Hivyo iliwabidi wale nyama kwa wingi. Lazima uwe strong jaw.
Tofauti nyingine ni kama Europeans na Asians kuwa na viuno vipana na Africans kuwa na viuno vyembamba pamoja na hips pana kwa wanawake. Kitaalamu wanaita misambwanda sababu ya joto, viuongo virefu na kustore mafuta kwenye hips.

Hizo ni tofauti chache zilizosababishwa na mazingira. Lakini binadamu wa sasa wote ni Homo-Sapiens. Tena Waafrica ndio full Homo-Sapiens waliobaki.

Cha kuchekesha ni kwamba kuna Species za binadamu wengine kama Neanderthals. Ambazo zenyewe zilitokea Europe na Asia. Walikuwa kama wazungu walivyo, kuanzia nywele nyingi had ngozi nyeupe. Sema walikuwa wafupi na mwili wenye features na kama wa sokwe, mafuvu makubwa ya vichwa yasiyo na kisogo, macho yamekaa kwa juu ya kichwa na kuingia ndani. Hawa walikuwa depicted kwenye movies kama savages wasiojitambua wala kuwa na akili.

Then miaka ya karibuni ikajulikana Europeans na Asians wana asilimia mpaka 5 ya DNA ya hawa Neanderthals. Yaani sio Homo-Sapiens kamili. Wakaanza kupanic na kuanza kudepict hawa mababu zao kivingine kwenye movie zao. Kwamba walikuwa na akili na ubunifu na coping mechanism nyingine.

Wakaja kupima huku, wakagundua Waafrica ndio binadamu pekee ambaye ni full Homo-Sapien. Yaani binadamu wa kisasa kamili.
 
Kitu gani wewe ujaelewa mkuu...
Uliza swali in short form nipo hapa kukujibu
 
Homo-Sapiens sio species pekee za binadamu. Bali ni iliyobaki. Aina nyingine za binadamu zimetoweka hapa duniani.

Kitendo cha Homo-Sapiens kusurvive mpaka leo ni kimesababishwa na uwezo wa akili na walio na bongo advanced zaidi.

Theory makini inayokuwa supported na hata mafuvu yanayochimbwa hapa Tanzania. Out of Africa. Kwamba species za binadamu wa kisasa yaani Homo-Sapiens. Walitoka Africa ya Mashariki. Ilipo Tanzania. Then wakasambaa dunia nzima. Miaka 200,000-300,000 iliyopita kama sikosei. Hata binadamu wa kwanza kufika Europe alikuwa mweusi tii zaidi ya mkaa.

Tofauti za kimwili kama ngozi, nywele, macho na mafuvu ya vichwa ni yametokana na binadamu kuadapt mazingira tofauti tofauti.

Waafrica wana nywele fupi ila nyingi kupitiliza kichwani kwa sababu ya joto kali, na wingi wake ili kukinga kichwa na mionzi mikali ya jua.
Wana ngozi nyeusi sababu ya melanin kuzalishwa kwa wingi ili kujikinga na mionzi mikali ya jua vilevile. Na ndio maana ukikaa sana juani unakuwa mweusi na Europeans wakikaa juani wanakuwa weusi, tanned.
Europeans na Asians wana nywele ndefu sababu ya mwili kutoa vinywelea vingi ili kujikinga baridi kali la North.
Wana ngozi nyeupe sababu ngozi imepunguza uzalishwaji wa melanin ili kupata virutubisho mionzi ya jua. Ukienda Europe au USA utaona jinsi gani anga lilivyo dark. Na mostly sababu wako north maana yake jua halipigi sana kama hapa katikati ya dunia, yaani Africa.
Wana Jaw nyuso pana sababu North na West upatikanaji wa vyakula vya mimea ni ngumu sababu ya baridi. Hivyo iliwabidi wale nyama kwa wingi. Lazima uwe strong jaw.

Tofauti nyingine ni kama Europeans na Asians kuwa na viuno vipana na Africans kuwa na viuno vyembamba pamoja na hips pana kwa wanawake. Kitaalamu wanaita "misambwanda" sababu ya joto, viuongo virefu na kustore mafuta kwenye hips.

Hizo ni tofauti chache zilizosababishwa na mazingira. Lakini binadamu wa sasa wote ni Homo-Sapiens. Tena Waafrica ndio full Homo-Sapiens waliobaki.

Cha kuchekesha ni kwamba kuna Species za binadamu wengine kama Neanderthals. Ambazo zenyewe zilitokea Europe na Asia. Walikuwa kama wazungu walivyo, kuanzia nywele nyingi had ngozi nyeupe. Sema walikuwa wafupi na mwili wenye features na kama wa sokwe, mafuvu makubwa ya vichwa yasiyo na kisogo, macho yamekaa kwa juu ya kichwa na kuingia ndani. Hawa walikuwa depicted kwenye movies kama savages wasiojitambua wala kuwa na akili.

Then miaka ya karibuni ikajulikana Europeans na Asians wana asilimia mpaka 5 ya DNA ya hawa Neanderthals. Yaani sio Homo-Sapiens kamili. Wakaanza kupanic na kuanza kudepict hawa mababu zao kivingine kwenye movie zao. Kwamba walikuwa na akili na ubunifu na coping mechanism nyingine.

Wakaja kupima huku, wakagundua Waafrica ndio binadamu pekee ambaye ni full Homo-Sapien. Yaani binadamu wa kisasa kamili.

Damnit I can't stop writing.
 
Back
Top Bottom