Tujadili Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yaliyo Tangazwa Jana

Tujadili Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yaliyo Tangazwa Jana

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto mbalimbali kama upungufu wa rasilimali, walimu, na mazingira duni ya kusomea.

Maswali ya Mjadala:

1. Je, ni sababu zipi zinazochangia matokeo ya chini kwa baadhi ya shule?

2. Ni mambo gani mazuri yamejidhihirisha kwenye matokeo haya?

3. Ni hatua zipi za haraka zinaweza kuchukuliwa ili kuboresha matoke
o yajayo?

Tazama hapa matokeo ya kidato Cha pili
Tazama hapa matokeo ya Darasa la nne.
 
Walimu wanajitahidi sana. Ila wamekosa motivation. Kuna mijamaa kila siku inalalamikia 200 za masomo ya ziada huku JF. #UJINGA
Wewe ndo mjinga, kàma huwezi kuelewa kwenye muda wa kawaida utapata wapi akili za kuelewa ule muda wa ziada? Huo muda wa kupumzika siyo ku force material yaingie kichwani.
Wenye akili wanaelewa.
 
Wewe ndo mjinga, kàma huwezi kuelewa kwenye muda wa kawaida utapata wapi akili za kuelewa ule muda wa ziada? Huo muda wa kupumzika siyo ku force material yaingie kichwani.
Wenye akili wanaelewa.
Huna akili wewe
Tuition centers kwa walio mtaani
Masomo ya ziada kwa waliopo boarding, vingekuepo kwaajili ya nini?
 
Kayumba vs English medium. Nafikiri mjadala ukae hapo..Unaogopa kuzitaja shule zilizofelisha.!??

Mwenyekiti awe LIKUD
 
Kayumba vs English medium. Nafikiri mjadala ukae hapo..Unaogopa kuzitaja shule zilizofelisha.!??

Mwenyekiti awe LIKUD
Private schools karibu zote huwa zinafanya vizuri shida inakuja kwenye shule za kata changamoto yao ni nini?
 
Back
Top Bottom